Kama huyo vendor ni wa hapa nchini wasiliana nawe,kama sio wa hapa lipia tu kwa VISA/MASTERCARD sio ishu kubwa kivile.
Ahsante mkuu, inshu yenyewe nataka ku upgrade ICLOUD (iphone's storage).
Ko nawish kulipia through mobile money rather than hizo walizoweka kama option
Embu chukua kitambulisho chako pamoja na 20,000 nenda BancABC kariakoo au upanga au UBA bank, waambie unataka cash card. Ni fasta na unaweza tumia kufanye manunuzi online huhitaji kufungua account kwenye benki husika.. unakuwa unajaza tu hela hiyo kadi via mpesa, tigo pesa, airtel money n.k ukitaka kufanya malipo hayo iTunes, eBay, Google play, Spotify, Amazon.
Mkuu Huwezi lipa through mpesa asee kachukue card ya BancABC simple tu utapata Kadi haraka sana na itakuwa activated kununua online uta recharge via mobile money mpesa,tigo na Airtel money
Ahsante sana mkuu.
Je ntai-link vip kufanya payment akat pale kwenye payment info huwez customize na kuweka njia nyengne ya kulipia??
Ahsante sana mkuu.
Je ntai-link vip kufanya payment akat pale kwenye payment info huwez customize na kuweka njia nyengne ya kulipia??