Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
Yeah, Naona Udom Wanazngua Mkopo , Lakn Uzr Nliapply Wakanchagua Butmba Kama Mkopo Mkorogo Naenda Butmba Faster
vumiliaa majina yenu huwa hamkosi mkopo,,, ukiwa na shida nicheki 0718492494
1.rocall saa 11:30 kila wikend na sku za skukuu
2.kuhudhuria mpango kazi kila j3,alhmis na jumamos
3.kusafisha eneo la bweni na eneo la taaluma
4.kuhudhuria clubs kila j5
5.ukitoka eneo la chuo na sare za chuo
Kipo mwanza city center....karibu na gereza kuu la mkoa wa mwanzawakuu nimechaguliwa hapo ,baada ya kufukuzwa udom, any information please kwa anayekijua au anayesoma ,
Kile c cha primary sasa imekuaje wakapelekwa watu wa physics na biology wakafanye nin sasa paleKipo mwanza city center....karibu na gereza kuu la mkoa wa mwanza
OK ,pamoja sana broKipo mwanza city center....karibu na gereza kuu la mkoa wa mwanza
wee jamaa VP we pia si ni special diploma sasa mbona una doubt ,doubt embu twende tukasome tutajua hukohukoKile c cha primary sasa imekuaje wakapelekwa watu wa physics na biology wakafanye nin sasa pale
OK ,pamoja sana bro
wee jamaa VP we pia si ni special diploma sasa mbona una doubt ,doubt embu twende tukasome tutajua hukohuko[/QUOTE
Kwani hao hawakusoma Physics na Chemistry? Alafu wote si mmemaliza form 4 au unafikiri wanaoenda hapo ninwaliomaliza darasa la 7Kile c cha primary sasa imekuaje wakapelekwa watu wa physics na biology wakafanye nin sasa pale
vipi mkuu hawana website ya chuo kama ipo nsaidieKapambaneni,inahitaji moyo sana,kusoma kwenye hicho chuo,
Sizani kama sarawa atakuwa bado upo,Nenda utamkuta sarawa na ambrose,kipindi tupo pale walikuwa kavu na sheria zilikuwa ngumu sana.
Oya mim nispecial diplo. Kutoka UDOM nimepangiwa hapo butimba tc nilikuwa na omba niwafaaahamu wenzang kima makazi nipo Dar es saalmNimekuelewa mkuu
Inataka join instruction auOya mim nispecial diplo. Kutoka UDOM nimepangiwa hapo butimba tc nilikuwa na omba niwafaaahamu wenzang kima makazi nipo Dar es saalm
6.Kulima na kupalilia shamba la mkuu wa chuo.1.rocall saa 11:30 kila wikend na sku za skukuu
2.kuhudhuria mpango kazi kila j3,alhmis na jumamos
3.kusafisha eneo la bweni na eneo la taaluma
4.kuhudhuria clubs kila j5
5.ukitoka eneo la chuo na sare za chuo