Five55
JF-Expert Member
- Jun 14, 2024
- 290
- 313
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.
Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,
Hebu msikilize wewe mwenyewe,