Butiama wote wanataka serikali tatu

Butiama wote wanataka serikali tatu

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,439
Hakuna haja ya maelezo,picha inajieleza yenyewe!

10291320_679252512140804_1150691773897271696_n.jpg
 
....kudadadeki, tanganyika ileeeee inakuja....!! viva ukawa mpaka waisome na waielewe...
 
Ngoja wasaka tonge waje Watakataa, watasema Picha ni ya 2010
 
Mnaharibu pale mnapoweka picha za uongo kama wao... Ni kweli Butiama wanataka serikali 3 ...
 
Hajapelekwa mtu na fuso hapo
Hiyo ndio nguvu halisi ya umma
 
Chadema mnavituko sana hivi mnadhani mtapona kwa uongo huu?mimi niko na waandishi wenzangu huu ni uhuni wa mwaka
 
Ukiona chama kinafikia kutunga uongo jua hali tete
Tatizo ni kuwa hata wewe itakuwa ngumu kuaminika maana tayari umeisha onesha uko kwa maslahi ya upande upi! ukiwa kama mwandishi wa habari ( kama ni kweli) hutakiwi kuonesha hisia zako wazi wazi vinginevyo habari zako zitakuwa "biase"!
 
Back
Top Bottom