GE2025 Butiama: Wanachama wa CCM walalamikia kuenguliwa kwa jina la Mgombea udiwani aliyeshinda kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Hofu imetanda kwa baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama, mkoani Mara, (wajumbe) baada ya uwepo wa fununu za kuenguliwa kwa mtia nia wa nafasi ya udiwani katika Kata hiyo Bw. Emmanuel Musuya, aliyeongoza katika kura za maoni na kurejeshwa jina la mtia nia mwingine aliyeshika nafasi ya pili jambo ambalo baadhi ya wajumbe hawakubaliani nalo.

Video: ITV Digital
 
Nini chanzo cha hofu yao sasa? Kwani hao wananchi walikuwa hawajui kuwa ccm Ina wenyewe?

Huyo aliyekuwa ameongoza kura za maoni lkn jina lake limekatwa, awe anaelewa pale CHADEMA inaposema NO REFORMS NO ELECTION.
 
Back
Top Bottom