Buti la Chief Godlove analoringia na kutudanganya Temu ni shilling elfu 35 tu

Simjui. Unaweza kufunguka kuokoa nguvu na muda maana bado sioni correlation ya story yako, Godlove na serikali kuwatumia.
Basi km humjui ndio ujue haujui.. sina haja ya kuendelea na mtu ambae [hajui] motives behind ya kile kinafanyika
 
Umezunguka tu bila kutoa jibu lolote wala kuonyesha uhusiano wowote.

Watu wana free will. Sio kila kitu lazima kiratibiwe na serikali. Mnaipa serikali nguvu na sifa isizokuwa nazo. Mwisho utagongewa mke wako useme sababu ya ccm.

Pia hakuna tija yeyote ya serikali kutumia watu kama shika, godlove nk kuwatoa watanzania relini. Hao watanzania ni wapumbavu kiasi gani hadi trivial matters ndogo kiasi hiki ziweze kuwa influence? Mfano wewe kwa kumuona Shika au Godlove ame influnce nini kwenye maisha ambacho kinaipa serikali faida? Hadi leo sioni tija ya serikali kuhusika.
 
Umezunguka tu bila kutoa jibu lolote wala kuonyesha uhusiano wowote.
Mmiliki wa lile ghorofa aliloliwekea dau Dkt. Shika (jina bandia) alikua ni yule jamaa aliewajengea watoto ghorofa za watoto wa mitaani huyo pia unamjua na pia huyo mdau wako content creator aliechagua niche ya kujifanya yeye tajiri sana kumbe apeche, aliwahi kumtembelea nyumbani kwake wakafanya interview akamuonyesha magari yake ya kifahari sana anayoyamiliki, clip hata humu zimo unamjua ? Ukiona haumjui acha mara moja kuni-quote
 
Huna hoja unaungaunga, acha imani potofu,tafta hela maskini ww.
Wewe mwenye hela unakubali vipi kununuliwa na TAPELI ili uje kumtetea humu JF na mitandaoni? Chifu ni mwizi/conman ,anatapeli watu sana..

Wadau wametoa challenge aweke hati ya nyumba yeyote anayomiliki au kadi ya gari yenye jina lake.

Gari yenye kadi yenye jina lake ni CROWN tu.
 
Naona Abdul/serikali ya Samuya imempelekea godlove magari yake Nairobi akawazubaishe wakenya awatoe kwenye reli😆

View attachment 3530589
Hii si hata wewe unaweza kufanya hapo kwa Trump.. halafu unajua mimi nikajua watu ambao mpo kwa Trump kichwani akili zimo sababu mna exposure ya kutosha kumbe duuh kazi ipo.. hayo makitu hata wewe hapo hapo ulipo unapobeba maboksi na kuwatawaza wazee ukitaka kufanya unafanya tu kwani shingapi? Gari zinakodishwa kibao plate number hizo hela yako tu unachongesha what else tena kwa serikali hii iliyo na mapumbu wazi ukawa umewapa endorsement wanaseasa hawa matapeli kwamba nataka niwapumbaze hawa mazezeta wanakupa vibari vya kipuuzi tu
 
Mmiliki wa lile ghorofa aliloliwekea dau Dkt. Shika (jina bandia) alikua ni yule jamaa aliewajengea watoto ghorofa za watoto wa mitaani huyo pia unamjua na pia huyo mdau wako content creator aliechagua niche ya kujifanya yeye tajiri sana kumbe apeche, aliwahi kumtembelea nyumbani kwake wakafanya interview akamuonyesha magari yake ya kifahari sana anayoyamiliki, clip hata humu zimo unamjua ? Ukiona haumjui acha mara moja kuni-quote

Mimi kuwajua au kutowajua sio hoja. Nimeuliza serikali inapata nini in return? Mwenzako alisema ni mpango wa serikali. Hilo ndo swali la msingi ambalo unaruka ruka bila kujibu. Umedandia treni kwa mbele. Kama huna jibu kausha so far unazunguka tu na story hazina mbele wala nyuma.
 
Sirikali ni matapeli ,chifu godilavu naye ni TAPELI ,kwahiyo MATAPELI kusapotiana siyo shida zao.

Serikali inapata nini in return Hilo ndo swali langu la msingi ambalo so far sipati jibu lenye mantiki.
 
Hii si hata wewe unaweza kufanya hapo kwa Trump.. halafu unajua mimi nikajua watu ambao mpo kwa Trump kichwani akili zimo sababu mna exposure ya kutosha kumbe duuh kazi ipo.. hayo makitu hata wewe hapo hapo ulipo unapobeba maboksi na kuwatawaza wazee ukitaka kufanya unafanya tu kwani shingapi? Gari zinakodishwa kibao plate number hizo hela yako tu unachongesha what else tena kwa serikali hii iliyo na mapumbu wazi ukawa umewapa endorsement wanaseasa hawa matapeli kwamba nataka niwapumbaze hawa mazezeta wanakupa vibari vya kipuuzi tu

Nani kakwambia nipo kwa Trump?

Kama gari zinakodishwa does that mean huyu Godlove ana hela za kukodisha hayo magari na nyumba siku zote hizo na kuzunguka nayo kila Kona hadi Kenya? Basi huyu bwana ni tajiri.

Kama anakodishiwa na mtu baki au serikali kama mnavyodai, serikali inapata nini in return? Hamtoi jibu la maana.
 
Wewe mwenye hela unakubali vipi kununuliwa na TAPELI ili uje kumtetea humu JF na mitandaoni? Chifu ni mwizi/conman ,anatapeli watu sana..

Wadau wametoa challenge aweke hati ya nyumba yeyote anayomiliki au kadi ya gari yenye jina lake.

Gari yenye kadi yenye jina lake ni CROWN tu.
Wabongo mna kazi sana. Hujui kuna watu wana magari zaidi ya moja na hakuna hata moja lina jina lake? Mimi mmoja wao.
Hata nyumba hapa Dar nyumba kibao watu wanamiliki hazina hati.
NB: Simtetei naonesha possibilities tu
 
Mmiliki wa lile ghorofa aliloliwekea dau Dkt. Shika (jina bandia) alikua ni yule jamaa aliewajengea watoto ghorofa za watoto wa mitaani huyo pia unamjua na pia huyo mdau wako content creator aliechagua niche ya kujifanya yeye tajiri sana kumbe apeche, aliwahi kumtembelea nyumbani kwake wakafanya interview akamuonyesha magari yake ya kifahari sana anayoyamiliki, clip hata humu zimo unamjua ? Ukiona haumjui acha mara moja kuni-quote
Mkuu kuna kosa ukisema nyumba zilikuwa za Lugumi?
 
Yeye anadhani akiongea kimafumbo ndo ataonekana mjanja kumbe ni ujinga tu. Pili, mimi kutomjua mmiliki hakubadilishi uhalali wa swali langu la msingi. Mwenzake alisema gari za godlove ni za serikali nimeuliza serikali inapata nini in return hilo swali linarukwa napewa unrelated stories tu? Anadai kama simjui mmiliki wa hizo nyumba nisiulize hilo swali. How so?
 
Wabongo mna kazi sana. Hujui kuna watu wana magari zaidi ya moja na hakuna hata moja lina jina lake? Mimi mmoja wao.
Hata nyumba hapa Dar nyumba kibao watu wanamiliki hazina hati.
NB: Simtetei naonesha possibilities tu

Ndiyo hizo tunazosema janja janja.

Kama unaogopa kufanya transfer kuhofia Kodi basi hapo huna pesa.

Kama unahofia sirikali itajua unamiliki nyumba na magari na hayana maelezo jinsi ulivyopata pesa basi nayo ni janja janja huna pesa.

Tajiri hasa anaogopo watu kujua kwamba ana pesa maana ni risk kwake......ila MATAPELI wanapenda sana kuaminisha watu kwamba wana pesa ili uwaamini na hapo ndipo wanakupasua.
 
Back
Top Bottom