Buti la Chief Godlove analoringia na kutudanganya Temu ni shilling elfu 35 tu

Buti la Chief Godlove analoringia na kutudanganya Temu ni shilling elfu 35 tu

Mchina ana copy ya vitu vingi sana mazee hii uliyotuletea ni copy angalia jina wenyewe wanauza ngapi.
Sasa yeye kanunua hiyo hiyo kwasababu hilo buti brand yake ni china hamna sehemu nyingine. Ingekuwa Nike ama Adidas etc hapo sawa ila ni changdao.
 
Yule ni.mhuni tu ile famba ni 85 kwa 95
 
Huu muda mnapata wapi watu wa DSM. Haya ndio mambo yalinifanya nikatae kuishi Dar
Acha kutudhalilisha watu wa Dar , jamaa mleta
mada ni mvuta Mabangi Mcmillan de Maghayo
ni chalii ya Sing'si huko Meru Dar hata hajawahi kufika maisha yake ni ya porini kama muhadzabe akila Mabange .

Baada ya kufeli darasa la 7 na kuanza kufanya mabalaa baada ya bange kuzidi Kumchanganya familia ikaweza kufanya vikao wakachanga pesa ya kumpeleka nje ya nchi , jamaa mpaka Leo yupo Mamtoni akifanya poor paying and disgraced jobs.
 
Mbona nilishaeleza huko nyuma kwa anavyofanya hivyo Chifu lavu ina maana gani na serikali inapenda sana watu kama hao na wengine wanakuwa financed pia ,huyo kama uliona alikuwa anasema toka magetoni ukafanye kazi na yeye anapiga kazi ndiyo maana ana hela ,so anawamotivate Gen Z waone kumbe pesa ipo so GEn watakijitika zaidi kutafuta pesa wawe kama chifu na kuachana kuikosoa serikali.

Naona Abdul/serikali ya Samuya imempelekea godlove magari yake Nairobi akawazubaishe wakenya awatoe kwenye reli😆

Screenshot 2026-01-16 083116.png
 
Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu 35.
View attachment 3529545

Wanoko na wambea wamezama Temu online shopping ya China na kuthibitisha.
View attachment 3529546

Wasiomjua chief godlove ni content creator na mhamasishaji anayetafuta sifa za kijinga mitandaoni akijifanya billionaire.

adriz de mbusii
Hicho kiatu huwez kupata kwa 35. Hata kwa china labda 45.
 
Masikini wana tabu sana mkuu,
Jamaa kaongea ujumbe mzuri sana,

Ujumbe wangu kwa wadada wa JF,

Wadada kama Mwanaume wako nae amepost kufurahia issue ya Chief god love,achana na huyo mtu,atakupotezea muda tu,ha

Mbona nilishaeleza huko nyuma kwa anavyofanya hivyo Chifu lavu ina maana gani na serikali inapenda sana watu kama hao na wengine wanakuwa financed pia ,huyo kama uliona alikuwa anasema toka magetoni ukafanye kazi na yeye anapiga kazi ndiyo maana ana hela ,so anawamotivate Gen Z waone kumbe pesa ipo so GEn watakijitika zaidi kutafuta pesa wawe kama chifu na kuachana kuikosoa serikali.
Huna hoja unaungaunga, acha imani potofu,tafta hela maskini ww.
 
Mkuu sipo kwenye kitengo ila ukiwauliza watu wa vitengoni watakwambia mambo hayo anayofanya ChiefGodilavu ni sehemu za project ambazo huwa wanafanya.

Sasa kama Abdul ana magari yenye thamani zaidi ya bilioni 100 ndiyo ashindwe kununua vigari vya chifu ambavyo vingi price yake chini ya 100m? Hizo project hufanywa na machawa wa serikali wanaofaidika na mifumo ,usikute hata Balozi Waziri ana project ambazo kina Stivie Nyerere ndiyo wanaziratibu.....Mtu kama Balozi Waziri Rajabu kumpa Chifu gari 6 ambazo hazizidi 1B kuwaadaa watu hashindwi.
Anawahadaa watu kivipi na inasaidia vipi serikali, put it in a way that at least it makes sense.
 
Hili buti ambalo Chief godlove leo ameposti akituringia na kutudanganya kwa jazba na nyodo baada ya kuchekwa kafulia mitandaoni eti ni dollar za kimarekani 3500 kumbe ni euro 12 tu ambayo ni elfu 35.
View attachment 3529545

Wanoko na wambea wamezama Temu online shopping ya China na kuthibitisha.
View attachment 3529546

Wasiomjua chief godlove ni content creator na mhamasishaji anayetafuta sifa za kijinga mitandaoni akijifanya billionaire.

adriz de mbusii
ccm inajua kuchezea akili vilaza
 
Serikali inaamini watanganyika ni wajinga kiasi hicho kwamba wanaweza kuwa swayed kwa mtu kuonyesha lifestyle yake tu online?
900 itapendeza Dokta Shika RIP, alipokuja kuufunua ukweli kua nini kinampata ndipo watu walipoanza kumuelewa.. akaomba achangiwe na huyo jamaa yenu akifika hio stage ya kuomba achangiwe atausema ukweli wote
 
Dr. Shika alisema ukweli gani? Nae alitumwa na serikali kuwahadaa watanzania?
 
Dr. Shika alisema ukweli gani? Nae alitumwa na serikali kuwahadaa watanzania?
Hahaha hivi unaujua ule mkasa vizuri wa lile ghorofa lililokua linapigwa mnada au upo nyuma ya muda na unajua lile ghorofa la thamani lilikua la nani na akaamua kufanya vile baada ya kuona jengo linapigwa mnada tena mbele ya camera tofauti na ilivyokua kawaida na ushabiki ukawa mkubwa sana kuona nani analinunua na unajua kituo gani cha TV kilikua kinarusha live ununuzi wa lile jengo mpaka Mzee Mmoja Dkt. Shika aliejichokea akapanda dau mpaka Million 900 ambayo wengine walishindwa kufika au kuvuka na unajua ndugu zake walipokuja kuulizwa kuhusu yeye walijibu nini na huyo unaemshabikia umewahi kuwauliza ndugu zake uhalisia wake halisi ?
 
Mkuu, naujua huo mkasa vizuri. Najua pia Shika mwenyewe alishafariki. Swali ni moja tu, Shika alitumwa na serikali? Hilo mimi sijui wala sikusikia. Umesema alipoumwa ukweli ulijulikana nauliza ukweli gani? Nijibu hayo.

Ninachojua so far ni, Shika alikua na hali mbaya hata kabla ya ile siku. Hakuwa na makazi maalum wala usafiri. Alirudi toka Urusi miaka ya nyuma baada ya kuugua na inasemekana alikua na changamoto ya akili.
 
Swali ni moja tu, Shika alitumwa na serikali?
Unamjua mmiliki halali wa lile jengo lililokua linapigwa mnada ? Mtaje kwanza kisha tuendelee naona wewe kuna vitu upo nyuma ya muda ila unajiona km upo mbele ya muda
 
Unamjua mmiliki halali wa lile jengo lililokua linapigwa mnada ? Mtaje kwanza kisha tuendelee naona wewe kuna vitu upo nyuma ya muda ila unajiona km upo mbele ya muda

Simjui. Unaweza kufunguka kuokoa nguvu na muda maana bado sioni correlation ya story yako, Godlove na serikali kuwatumia.
 
Back
Top Bottom