Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
Ulimbusu kama kwenye atavar yangu au ulinyonya denda? maana hivi ni vitu viwili tofauti. Pole lakini huo ni mwanzo tu, ukirudia mara mbili tatu utazoea tu.
Ninakushauri usitoe wala kupokea denda la mtu mpaka awe wako wa pekee umekuwa naye karibu unamjua usafi wake na mambo mengne kama kupiga mswaki mara 3 per day aweze.
Hata wale wanyonyaji wa dudu nawaomba waogesheni wenzenu B4 kwani mpo ktk risk kubwa sana kwa kufanya hayo.
Kuna uchafu mnakula tena hata awe msafi vipi kubali kuna uchafu wake unakula ila kama ni mmeo au mkeo au mtarajiwa basi fanya ukiamini uko radhi naye katika shida na raha.