Bustani ya Magomeni yauzwa

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Kufuatia mgogoro wa umiliki wa eneo la bustan ya magomeni kati ya Chama cha Mapinduz(CCM) na Manispaa ya Kinondoni. Diwani wa kata ya magomeni ametangaza rasmi kupitia ITV kuwa eneo hilo ni mali ya chama chake na ni ruksa kwa wafanyabiashara kufanya biashara zao huku ikijulikana wazi kuwa eneo ni mali ya Manispaa ya Kinondoni.
 
Eneo hilo ambalo katibu na mkiti wa CCM-tawi la Magomeni wameuza sehemu ya ardhi kwa mfanyabiashara wa vileo ambaye anamiliki eneo hilo kwa mwamvuli wa chama cha mapinduzi huku ofisi ya manispaa ya kinondon na mkuu wa wilaya ikiwa ni mita 50 tu kutoka eneo hilo.
HAKIKA WATZ TUMEUZWA.
 
Hehehehe daresalam ni mji pekee afrika au duniani ambao hauna bustani za kupumzikia kwa wakaazi wake bado mnaendelea kuuza sehemu za wazi,haya ni moja katika maajabu ya watanzania ;)
 
Jangwan?stendi ya ubungo?uza uza tu,mikoani uko uza tu,sisi si tunaangalia vizazi vyetu na watoto wetu tu,sijui ni wap wajukuu na vitukuu vitakwenda.
 
wauze magogoni jamani,ikulu haitakiwi kukaa eneo la shombo la samaki vile
 
Maajabu ya Serikali ya Kikwete eti katibu na mkiti wa tawi la magomen wana power over DC na Municipal Director. Kwel hii serikal dhaifu ya rais dhaifu.
 
Back
Top Bottom