Hapa ndio huwa nacheka.Bustani lazima iwe green area, sehemu mvua nyingi nk.cha ajabu bustani ipo jangwani badala ya Afrika,.Kwa kuwa waliotuletea dini wapo huko lazima waandike bustani ipo huko lakini jiografia ya kisasa inakataa.
so ilipaswa kuwa DRC?? mana ndo kuna mapori ya EQUATORIAL na mvua za mara kwa mara?? kumbuka mambo haya yalitokeaga miaka mingi kabla ya mabadiliko ya tabia nchi, kama umesoma jiografia utanielewa
so ilipaswa kuwa DRC?? mana ndo kuna mapori ya EQUATORIAL na mvua za mara kwa mara?? kumbuka mambo haya yalitokeaga miaka mingi kabla ya mabadiliko ya tabia nchi, kama umesoma jiografia utanielewa[/QUOTE Powa mkuu
Niliwahi niliwahi kusoma uzi mmoja humu ndani, unaohusu bustani ya Eden lakini nimejarbu kuutafuta nmekosa.
Naombenii mnisaidie kulingana na History, ni mahali gani hapa duniani panapokisiwa kuwa bustani ya Eden ilikuwepo, ambayo inasemekana ina sifa ya kuelea angani.
Ki nadharia, bustani ya eden ni ulimwengu wote, ndiyo maana hata kwenye Biblia imeandika nanukuu kutoka katika kitabu cha mwanzo "Mungu aliumba mbingu na nchi"