Wazo langu ni kurun City Clickers Enterteinment As Compuny Kampuny ambayo itakuwa ikiendesha miradi mikubwa miwili, Mradi utakaokuwa ukihusiana na maswala ya Sanaa na Burudani (MarketBase) na Mradi Mwingine ni Mradi Utakaokua Ukihusiana na Maswala ya Technologia ya Bussiness Machines (Mactonic Service)
Huu utakuwa ni Mradi ambao umelengwa kufanyika kimataifa. MB itakuwa Directory na soko kubwa La sanaa na Burudani
Mambo yatakayofanywa na kampuni hii ni mambo ambayo Hayajafanywa na kampuni yoyote ya burudani hapa Tz Pengine na East Africa kwa ujumla Ndio maana sitaki kuelezea sana hapa,Ila kutakuwa na vitu kama
MBR (Market Base Ranking) Here Is The Place where we can Bridge the gape Bitween You and People Who need You
MBA (Market Base Award) Nothing is Great Than Worldwide recognition
MBP (Market Base Projects) Nina uhakika kuwa kazi Bora za sanaa Tanzania ni zile zitakazokuwa zikitoka MarketBase
MarketBase ni Idea ambayo imekuwa ikisubiliwa kwa muda mrefu sana ilikuleta Ufumbuzi wa Matatizo Sugu katika nyanja za sanaa na burudani hususan katika nchi zetu za Africa Mashariki
Maxmum Invesment Katika Mradi Huu peke yake ni kama m7 But it can Begin with 3m only
Mradi huu ukiwa umesimama kabisa unaweza kuingiza hadi zaidi ya 5 million kwa mwezi hii ni ukitoa gharama zingine
zote za uendeshaji kama mishahara, usafiri, mawasiliano N.k
KUMBUKA! MAFANIKIO HAYALETWI KWA MALENGO MAZURI BALI HULETWA NA MIPANGO MADHUBUTI YA KUFIKIA MALENGO MarketBase imejengwa na mpango madhubuti ya kuleta ma
Ok niko interest na Sanaa na Burudani je unaweza kunifafanulia ni sanaa za aina gani ambazo Market Base itadili nayo maana kuna sanaa lukuki Tanzania, Lets talk
Nashukuru kaka, Ndio Mawazo ya jinsi ya kufanya biashara huwa nakuwa nayo japo kuwa sio mengi lakini angalau naweza nikawa na idea tofautitfauti zisizopungua 3 mpaka 4 kwa mwaka, Sema kama mtu anataka kuwekeza akiniambia anataka kuwekeza nyanja zipi basi mimi ninaweza kumpa Idea Ambayo Itafanya kazi Successfull mfano kunapost ilitumwa jamii forum jamaa alikuwa anaomba kushauriwa aina ya biashara ambayo anaweza kuifanya kwa mtaji wa shilingi laki tatu, watu wamemshauri mambo mengi kama kuuza nyanya chungu, kuuza nguo, kufungua genge N.K Mimi nikasikitika sana kwasababu ni wazi kuwa tatizo la mtu yule lilikuwa ni mtaji mdogo lakini watu wakaendelea kuiset na akili yake afikilie kidogo, kwa ushauri wa aina hii yule jamaa ataathilika kiakili na kimatendo yaani akili yake na matendo yake havitakuwa na muelekeo wa mafanikio. Hata hivyo sikuishia kusikitika tu bali nilimpa wazo kwamba hiyo laki tatu Atafute wakina mama ntilie 10 kisha akubaliane nao kuwapa Tsh 30,000 kwa kila atakae ongea nae kwa maana ya kushare nao biashara na sio mkopo kisha kila mmoja katika faida anayopata kwa siku agawane nae Tsh 1000 tu kwa kumuingizia kwenye M-pesa, akifanya hivyo ataingiza Tsh 10,000 kwa siku na Mwisho wa mwaka Atakuwa na zaidi ya Tsh 3,000,000 itakayo mtosha kabisa kuweka mipango ya kuelekea kwenye ndoto kubwa. JAMBO LA MSINGI KUZINGATIA UNAPOTAKA KUFANYA BIASHARA SIO KUFIKIRIA BIASHARA YA TOFAUTI (itakayokuwa tofauti na zingine) BALI NI KUWAZA MBINU NA MTINDO WA KIPEKEE WA KUFANYA BIASHARA ZILE ZILE ZINAZOFANYWA NA WENGINEBig up sana kijana, coz una think big vibaya sana na unaumiza kichwa na ndio inavyotakiwa kuwa hivyo, hongera sana kwa hilo. pia vile vile huwa una idea nyingi za biashara??
Nashukuru kaka, Ndio Mawazo ya jinsi ya kufanya biashara huwa nakuwa nayo japo kuwa sio mengi lakini angalau naweza nikawa na idea tofautitfauti zisizopungua 3 mpaka 4 kwa mwaka, Sema kama mtu anataka kuwekeza akiniambia anataka kuwekeza nyanja zipi basi mimi ninaweza kumpa Idea Ambayo Itafanya kazi Successfull mfano kunapost ilitumwa jamii forum jamaa alikuwa anaomba kushauriwa aina ya biashara ambayo anaweza kuifanya kwa mtaji wa shilingi laki tatu, watu wamemshauri mambo mengi kama kuuza nyanya chungu, kuuza nguo, kufungua genge N.K Mimi nikasikitika sana kwasababu ni wazi kuwa tatizo la mtu yule lilikuwa ni mtaji mdogo lakini watu wakaendelea kuiset na akili yake afikilie kidogo, kwa ushauri wa aina hii yule jamaa ataathilika kiakili na kimatendo yaani akili yake na matendo yake havitakuwa na muelekeo wa mafanikio. Hata hivyo sikuishia kusikitika tu bali nilimpa wazo kwamba hiyo laki tatu Atafute wakina mama ntilie 10 kisha akubaliane nao kuwapa Tsh 30,000 kwa kila atakae ongea nae kwa maana ya kushare nao biashara na sio mkopo kisha kila mmoja katika faida anayopata kwa siku agawane nae Tsh 1000 tu kwa kumuingizia kwenye M-pesa, akifanya hivyo ataingiza Tsh 10,000 kwa siku na Mwisho wa mwaka Atakuwa na zaidi ya Tsh 3,000,000 itakayo mtosha kabisa kuweka mipango ya kuelekea kwenye ndoto kubwa. JAMBO LA MSINGI KUZINGATIA UNAPOTAKA KUFANYA BIASHARA SIO KUFIKIRIA BIASHARA YA TOFAUTI (itakayokuwa tofauti na zingine) BALI NI KUWAZA MBINU NA MTINDO WA KIPEKEE WA KUFANYA BIASHARA ZILE ZILE ZINAZOFANYWA NA WENGINE
Wanadiplomasia kote ulimwenguni wanakubaliana kwa kauli moja na usemi unaosema
"Successfull Peaple Do not Do Different Things, They do Things Differently"
THANKS FOR APPRECIATION
Hamna tabu nitakufahamisha tu kakaNi wazo zuri brotha, kama hutojali naomba unidokeze japo kwa muhtasi kuhusu hiyo idea ili nilione ni jinsi gani naweza kushilikiana na wewe, e-mail yangu ni musibakuleba@yahoo.com. Siku njema
Mimi nipo tayari kutoa Mezanine financing! kama mradi ukishaanza japo kidogo kuelekea juu.
Sasa inabidi mradi wenyewe uanze kwanza. Halafu kuwe na proof ya success hapo ulipofika na future.
MARCTONIC SERVICE
View attachment 62431
Hii ni huduma inayokuja kwa ajili ya kupunguza mzigo wa gharama kubwa zinazotolewa kwa ajili ya opparating machines katika ofisi mbali mbali
Watu wengi wameshauri hivyo nimelitazama hilo na kuona kuwa ni jambo jema na linalopendeza
Mimi napenda hii idea ya PCtonic au marctonic. Sasa sijui kama naruhusiwa kuchagua hii na kuwacha hiyo nyingine? Investment kwenye hii ni kiasi gani au unahitaji huyo investor awekeze kwenye idea zote mbili? sio kwamba hiyo ya burdan ni mbaya ila naona zinafaa kuwa kampuni mbili tofauti kwa ajili hizo kazi mbili hazielekei ku relate pamoja na ku benefit each other kwa njia yeyote. Hivyo unapata moja ikianza kukuwa nyingine inaweza kufa. Pia nikiangalia haina ya wafanyakazi naona kila moja inahitaji wafanya kazi wenye sifa tofauti. au wewe unasemaje kuusu hili.