Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,609
- 8,298
Halafu kuna limtu humu jf liliwahi kuleta mada kwamba hilo daraja halina tija, mimi ni mkazi wa hapo Usagara, najua sana umuhimu wa hilo Daraja kuwahi kukamilika na adha ya kivuko hicho,ndiyo maana kwa miaka mingi Kamanga Ferry imekua na wateja wengi sana mpaka pale tu walipoweka lami kuelekea Sengerema kutokea BusisiSerikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?
Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
KigongoHivi kama unatoka Mwanza kuelekea Sengerema kupitia Usagara pale unaposubiria kivuko kwenda upande wa pili ndipo panaitwa Busisi au Kigongo?
Mkuu tulivuka SAA 18:27hrs(jioni)Mkuu una uhakika mmekaa Massa yote hayo bila kivuko kuja
DuhhMkuu tulivuka SAA 18:27hrs(jioni)
Ila wewe bado unaishi katika hiyo nchi na unaenda chooni kupupu baada ya kula na kushibaHii nchi sasahivi inajiendea tu..kweli jpm tutamkumbuka...alituonyesha nini maana ya uongozi wa nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Hujui tu mkuu.Ila wewe bado unaishi katika hiyo nchi na unaenda chooni kupupu baada ya kula na kushiba
Tatizo mliambiwa ni nini labda au kulikuwa na mawimbi mengi ziwani?Mkuu tulivuka SAA 18:27hrs(jioni)
Serikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?
Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
Jumamos usiku nilikua natoka Geita nakwenda Mwanza, nimefika pale kivukoni saa 3 usiku! Ila kulingana na folen niliyoikuta, tumekuja kuvuka saa 9 usiku! Serikali wangeingilia kati hili swala la vivuko pale BusisiSerikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?
Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure
Subiria tunakamilisha ujenzi wa daraja BossSerikali na wahusika hii sasa ni aibu....inakuwaje mkose vivuko vya uhakika mpaka kuwachelewesha watu kiasi hiki? Tokea SAA tano asubui hadi sasa (15:55 hrs) jioni bado abiria hatujavuka?
Je muda na gharama zingine mtatulipa? Kwanini mtuingize kwenye gharama za ziada kwa uzembe wenu
Waziri wa uchukuzi na TEMESA mulikeni utendaji wa kigongo ferry....nadhani kuna jambo sio bure