Bururu
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 877
- 584
Serikali chini wizara ya Mambo kupitia Uhamiaji wanatakiwa waangalie upya utoaji wa Business Visa kwa wafanya Biashara kutoka nje ya Nchi,
Sababu wanaikosesha serikali mapato.Mgeni anapoingia Nchini anapewa Business visa at alive ya Miezi3, inapokalibia kuisha anaondoka Nchini kwenda nchi yoyote,alafu anakuja tena anapewa tena Business Visa ya miezi3 anaanza Kazi zake za Biashara,Anafanya ivyo ivyo.Sasa Business visa ni $200 kwa mwaka ni $800 kwa miaka 2 ni $1600,Wakati work permit eg classB ni 2250.
Kwa miaka mi2,mapato ya Wizara ya kazi,Tax na hata Nyaraka muhimu za Biashara yake hakuna.
Hapa Serikali haioni kuwa inahitaji marekebisho ya haraka?