Vipi brelaAinisha biashara unayotaka kufanya
Pata fremu
Tafuta TIN
Makadirio ya kodi TRA
Leseni
Anza kazi
Kama unasajili jina la biashara au kampuni, ndio utaenda ukoVipi brela
Ni necessary?Kama unasajili jina la biashara au kampuni, ndio utaenda uko
Si lazima, ila kama unataka utumie jina fulani na mtu mwingine asije kulitumia hilo jina; lazima ulisajili. mfano patriot3 traders n.kNi necessary?