tido chado chido
Member
- Dec 6, 2011
- 32
- 6
Natafuta kampuni ambayo inaweza kununua idea/ wazo la kibiashara katika kampuni yoyote ya simu au benk. Business oppotunity hii ni kwa makubaliano moja kati ya haya
1.kununua wazo au idea hii.
2.kuwa sehemu ya wafanyakazi katika kampuni hiyo kwani nina vigezo vyote vya kuajiliwa hususani kujituma, mbunifu mwenye mawazo chanya na ya kimaendeleo
Pia nina degree ya Public Relations and Marketing na uzoefu wa kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi kwaajili ya masomo katka kampuni mbalimbali kwa sasa nimemaliza chuo hivyo niko huru kufanya kazi popote ndani na nje ya Tanzania
michaelkomba48@yahoo.com
Tel. 0655 997254
WhatsApp. 0655 997254
Insatergram. Tido1_chido
FB/ twitter/ . Michael komba
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums