Jojo123 Ninayo/tunayo. Taasisi yetu ilikuwa contracted kuandaa business plan kwa ajili ya AMCOS huko Rungwe na mpaka Sasa tuna kazi nyingine kama hizo mkoa wa Mbeya.Hakuna cha bure.. najua ntalipia issue ni mtu ambaye tayari anayo yakweke ambayo ilisha andaliwa na kutekelezwa ili aniuzie na mm niboreshe kulingana namipango yangu
Ninachoweza kukushauri tumia gharama kuwatembelea hao wenye mashamba na hizo facilities unazozitaka kutoka kwao utajionea ikiwa zafanya vizuri au la. Sasa kutokea hapo unaweza kutafuta waliofanya vizuri.Nombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya Packaging kwa ajili ya transport to abroad.
Natanguliza Shukran
View attachment 2053255
Kwamba wote waliopo JF ni matapeli, sio sawa. Waliopo mashambani ndio hawahawa waliopo JF.Ninachoweza kukushauri tumia gharama kuwatembelea hao wenye mashamba na hizo facilities unazozitaka kutoka kwao utajionea ikiwa zafanya vizuri au la. Sasa kutokea hapo unaweza kutafuta waliofanya vizuri.
Hapa utakutana na matapeli tu wanaotafuta hela za mteremko.
Nenda kwa wenye mashamba watakupa mwongozo sahihi wa nini cha kufanya.
Ninachoweza kukushauri tumia gharama kuwatembelea hao wenye mashamba na hizo facilities unazozitaka kutoka kwao utajionea ikiwa zafanya vizuri au la. Sasa kutokea hapo unaweza kutafuta waliofanya vizuri.
Hapa utakutana na matapeli tu wanaotafuta hela za mteremko.
Nenda kwa wenye mashamba watakupa mwongozo sahihi wa nini cha kufanya.
ulifanikiwa kupata mchanganuo?Naombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya Packaging kwa ajili ya transport to abroad.
Natanguliza Shukran
View attachment 2053255