Business Partner- Rwanda, Congo, Burundi, Zimbabwe

MAFIE JR

Senior Member
Feb 20, 2016
117
92
Hello;
I am a Tanzanian, doing enterpreurnship in Dsm....I would like to expand my business to the mentioned countries and so I need a person having a capital even the little it is but we can do business

The business Bracelets and Watches and if interested contact me on whatsapp via +255 718 585 555

91e219b489f8fe62b17f2fde5b320bb1.jpg

5a3ae965512101ffb43aceb91dc023d7.jpg

a9b41996ab295d05c04c7ba3a9571b6a.jpg
 
These watches are properly functioning and the deliverence will be done to your country from Dar es Salaam Tanzania

#Wholesale and Retail Price
 
Hello;
I am a Tanzanian, doing enterpreurnship in Dsm....I would like to expand my business to the mentioned countries and so I need a person having a capital even the little it is but we can do business

The business Bracelets and Watches and if interested contact me on whatsapp via +255 718 585 555

91e219b489f8fe62b17f2fde5b320bb1.jpg

5a3ae965512101ffb43aceb91dc023d7.jpg

a9b41996ab295d05c04c7ba3a9571b6a.jpg
Mkuu unapatikana maeneo gani Dar ili nikufuate ulipo tuongee
 
Nchi hizo zoote wanajua Kiswahili na Kiingereza ni tabu saana kwa nchi hizo.Labda Zimbabwe
Ushauri wa Bure,
Wafanyabishara weengi ukiwaanzia kizungu kiingi unawakimbiaza.
Na ndio maana hata miaka ya zamani hizi Bank,kuwa na uzungu mwingi watu wakawa wanaogopa.

Ushauri:-
Tenga kama 1m hivi,utembelee nchi hizo,maana pesa hiyo inatosha,ukienda kiguma,we Nenda kwa bai hadi Kigoma kisha onganisha Nchi hizo.Hapo itakupa mwanga wa kujua nini cha kufanya.Unapiga Door to Door.
Siku hizi biashara unaenda kiubishi ubishi kaka
 
hebu nisaidie kuhusu zimbabwe je naweza kupeleka samaki wakavu zimbabwe kuuhusu soko je likoje?
 
Back
Top Bottom