Habari zenu wana JF,
Katika zungukazunguka yangu kwenye mtandao nimekutana na hii kitu wanaita Home Income Package
ambapo waweza kufanya kazi online na ukalipwa kwa application fee ya $24.97,naomba kuuliza hiki kitu ni cha kweli?
link yao hii kwa atakayetaka kujionea
News Weekly | Work at home mum makes £4,397/month working part-time from home
mh ahsante kwa ufahamu huu,i wanna try it then i'll inform you.Thanx
..Mkuu NasDaz, kwa vile wewe mwenzetu una muda una-deal na hii kitu 'Work @ Home Business', tungeshukuru sana kama unaweza kutupa japo kwa juu juu kwa uzoefu wako, nini hasa unachofanya, unacholipwa, unavyolipwa na kadhalika maana hapa wengi tuna comp ambazo kazi yake pekee ni ku-Log Inn JF! Tutakushukuru ukiweza kutupa mwangu wa kuzitumia kwa kujiongezea kipato. Ubarikiwe.
Ok mkuu, umesomeka.....i'll explain abt it soon..!! It's very unfortunately tht nimeona hii post yako wakati nipo kwa job.