Kama una biashara binafsi , kampuni ...au ni wewe ni professional kwenye eneo lolote mfano engineering, marketing, medicine etc.
Karibu Olcomlabs ..Tutakufanyia yafuatayo:
i/
BIASHARA: tutaifanya Bishara yako kuwa ya kisasa zaidi nikiwa na maana...ya kuku tengenezea Mobile Application, Website au standalone software , umetengeneza kifaa chochote cha ki elektroniki [Embedded Device] ? sisi tutakutengenezea Software yake.
ii/ PROFFESIONAL: tuna address page yetu...tutapokea details zako baada ya kupitiwa, tunakutangaza.
Kwa taarifa zaidi angalia website yetu Olcomlabs (T) | Home
Simu: angalia contacts kwenye website.