Binafsi nakushauri ujiwekee malengo ya muda mrefu kidogo.kama pesa ulioipata imetokana na kazi.nakushauri ujenge guest house, jiwekee malengo ndani ya miaka mitatu au minne iwe tayari kwani guest hata usimamizi wake ni rahisi.Endelea na kazi Kwani kuajiriwa sio dhambi.
Kwa tafsiri lahisi biashara/ujasiriamali ni sawa na mbio za "Nyika". Kadri unavyofanya mazoezi ndivyo unavyozidi kuwa na pumzi. Nakushauri ufungue biashara yako iwe ni sehemu ya kukuongezea kipato kwa kazi unayofanya.
Huu sio muda muafaka wa kuacha kazi na kufanya biashara sababu.
1. Uwezo wa watu kufanya manunuzi umepungua
2. Uhaba wa chakula umesababisha mfumko wa bei (Labda uanze na biashara ya nafasi).
3. Serikali haitabiriki. Serikali imekuwa ni ya matamko badala ya sheria, kanuni na taratibu kutamalaki. Mfano wazi ni wafanyabiashara wa "viroba" jinsi walivyotendewa.
Binafsi nakushauri ujiwekee malengo ya muda mrefu kidogo.kama pesa ulioipata imetokana na kazi.nakushauri ujenge guest house, jiwekee malengo ndani ya miaka mitatu au minne iwe tayari kwani guest hata usimamizi wake ni rahisi.
Poa mkuu tuko pamoja pia tutapenda kutupa mrejesho wa kipi kinaendelea ili nawengine wajifunze na kuongezeana maarifa piaNashukuru sana mkuu
Ushauri mzuri sana ,nashukuru sana ndugu yanguFungua biashara zinazojisimamia huku ukiendelea na kazi...
Mfano wa biashara hizo ni kama bajaji au boda boda. Kama una mil 20 unaweza kununua hata bajaji ndio nzr ukilinganisha na boda ambazo huwa na risk kubwa. Tafuta bajaj used ambazo zimetumika mwaka mmoja na bei zake huwa ni kati ya mil 4/4.5
Hesabu ni elfu 20 kwa siku.
Hii ni biashara nzur kwa mtu anaefanya kazi kwa sbb haihitaji muda wako mwingi kuifuatilia zaidi ya kuzipeleka service kila mwisho wa wiki. Kwa mtaji wako unaweza kupata bajaj nne na chenchi ikabaki kwa ajili ya service na vibali. Unazitumia mwaka mmoja halafu unaziuza na kununua nyingine.
N.B kama utaamua kufanya biashara hii siku ya kununua ni lazima uwe na fundi.
Mkuu kuacha kazi sio tatizo ila tunafikia unapo acha kazi unaenda kufanya nini ndo maana tunashauri kabla hajaacha kazi anapaswa kufanya biashara amabayo ataweka mtaji kidogo baada ya mda atakuwa amepata uzoefu na anapo acha kazi anajua anaenda kufanya kitu Fulani na maslahi yake anayajuaUsisikilize watu wanaokukataza usiache kazi
kama una mtaji fikiria biashara ya kufanya
Hebu nijuze hyo biashara Mimi sijui vzuriBinafsi nakushauri ujiwekee malengo ya muda mrefu kidogo.kama pesa ulioipata imetokana na kazi.nakushauri ujenge guest house, jiwekee malengo ndani ya miaka mitatu au minne iwe tayari kwani guest hata usimamizi wake ni rahisi.
Kilimo kinawezekana ila tatizo inaweza kuwa hali ya hewa ila kama unaweza biashara ya nafaka sio mbayaJamani wadau vp kuhusu kilimo??
Hebu nielezee kdogo tu hyo biashara ya nafakaKilimo kinawezekana ila tatizo inaweza kuwa hali ya hewa ila kama unaweza biashara ya nafaka sio mbaya
Kilimo cha umwagiliaji hakina changamoto ya hali ya hewaKilimo kinawezekana ila tatizo inaweza kuwa hali ya hewa ila kama unaweza biashara ya nafaka sio mbaya
Sawa mkuu kama unaeneo linalo faa kwa kilimo cha umwagiliaji ni vizuri japo unatakiwa ujue na changamoto zakeKilimo cha umwagiliaji hakina changamoto ya hali ya hewa
Nikweli pia changamoto ya sokoSawa mkuu kama unaeneo linalo faa kwa kilimo cha umwagiliaji ni vizuri japo unatakiwa ujue na changamoto zake
Ndio kilimo inatakiwa uwe unakifanya kwa mahesabu makali sana na ndo utafurahia matunda ya kilimoNikweli pia changamoto ya soko
ahsanteUPANDE WA KILIMO
@ufugaji samaki
@ufugaji kuku wa mayai na nyama
@ufugaji wa nguruwe
@uzalishaji mbwa na kuwauza
Kilimo mbogamboga
@utengenezaji chakula cha mifugo
@utengenezaji wa unga na kuuuza
@kununua nafaka na kuuza kama mchele
@ulimaji wa mazao ya chakula na biashara
@ulimaji wa matunda
UPANDE WA ELIMU
@ufundishaji tuition,au shule binafsi
Huduma ya chakula mashuleni na ofisini
@utunzaji wa watoto/day care centre
@Uuzaji wa past papers na solution zake
@kufundisha kompyuta
@uuzaji wa vifaa vya stationery
UPANDE WA ICT
@uuzaji wa simu,vifaa vya simu na kurekebisha/repair
@uuzaji wa Pc na vifaa vyake
@kuwatengenezea web watu
GRAPHICS DESIGN
Huduma ya kurudisha namba zilizopotea
Huduma ya simu pesa(aitel money,tigo pesa na m pesa)
@uchezeshaji wa magemu
Huduma ya banda la kuangalia mechi Uefa,vpl,epl na world cup
BIASHARA NYINGINE
@upakaji rangi
@utengenezaji sabuni na cream body
@utengenezaji batiki
@utengenezaji dawa za chooni
anzisha blog yako
@ tengeneza app yyt katika google play store
Andika kitabu cha kuelimisha mambo ya dini
@Fanya research na tafuta wafadhili ktk hy mada yako na fanya presentation
@usafirishaji mizigo
@mtengenezaji cake za harusi na mpambaji
mkufunzi wa mazoezi ya viungo( body fitness trainer)
N pm ntakupa mchanganuo au ntakuunga kweny group LA wafugajiAsante kwa mawazo hayo... Nimevutika na ufugaji wa kuku na biashara ya nafaka.
Mwenye kujua mchanganuo pls share nasi