Business card ya Boss Ruge na Mhe. Makonda

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wadau hapa JF kuna kila aina ya watu. kua kipindi nilikuwa nchi za watu nikaomba msaada wa namba za mwalimu wangu wa Secondary ambaye alishakuwa Headmaster. na nilizipata kupitia hapa hap JF na nilipewa na mwanafunzi ambaye alikuwa bado shuleni.

sasa wadau naombeni msaada wenu nahitaji contact za Mh Makonda na Boss Ruge ..either iwe e mail ama namba ya simu ya whatsapp.
ikiwezekana hata pm nitashukuru

Thank you with all respect
 
Saint Ivuga na wewe ni mshamba kiasi hiki? Unamwita ''boss Ruge'' ni bosi wako? Kwa kuwa watangazaji wake wanamwita ''boss Ruge'' basi na wabongo wote wamefuata mkumbo na kumwita ''boss Ruge''. Au mnafikiria hilo neno ''boss'' ni jina? Nchi ya kukariri na kufuata mkumbo!
 
Mkuu before hujapiga hizo namba hakikisha kwanza ndo zake utakuta jamaa kakuwekea setup uingie kingi akubane mbavu kama Roma
 
mbona nyie humu jamii forum mnaitana MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…