Mark Francis
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 605
- 310
</p>kwa taarifa yako na wengine arusha ni kitega uchumi cha mafisadi wa daraja la pili ambao ndio wabaya zaidi na hawako tayari kuipa cdm nafasi miaka kumi manicipal haijawahi kufanya chote miundo mbinu mibovu oooooooMpaka akajadiliane na mafisadi cha kujibu, maana wakijichanganya tu inakula kwao mazima, kuna mwanajamvi mmoja aliwahi kuelezea kwanini Serikali ya CCM hawezi hata kufuta kesi hii, kwanza mara baada ya kufuta CDM wata fungua kesi ya madai, walio uawawa na kujeruhiwa watafungua kesi, kisiasa itawamaliza kabisa huku CDM ikipanda chart, kuna siri kubwa kung'ang'ania manispaa ya Arusha kuwa kabidhi manispaa CCM itaumbuka vibaya....kimsingi swala la Arusha siyo jepesi kama wengi tunavyoliona..
Mpaka akajadiliane na mafisadi cha kujibu, maana wakijichanganya tu inakula kwao mazima, kuna mwanajamvi mmoja aliwahi kuelezea kwanini Serikali ya CCM hawezi hata kufuta kesi hii, kwanza mara baada ya kufuta CDM wata fungua kesi ya madai, walio uawawa na kujeruhiwa watafungua kesi, kisiasa itawamaliza kabisa huku CDM ikipanda chart, kuna siri kubwa kung'ang'ania manispaa ya Arusha kuwa kabidhi manispaa CCM itaumbuka vibaya....kimsingi swala la Arusha siyo jepesi kama wengi tunavyoliona..
j......hivi kwanini hki kikundi cha watu 200 kitusumbue kila siku? mapinduzi ni muhimu!