Busara yetu wa afrika igekuwa hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busara yetu wa afrika igekuwa hii

Discussion in 'International Forum' started by Dumelang, Aug 22, 2011.

 1. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,538
  Trophy Points: 280
  Bara la Afrika limeanziasha kampeni ya Africa for africans (yaani afrika kwaajili ya waafrika wenyewe) ili kuchangisha fedha na chakula kusaidia ndugu zetu wanaokufa kwa njaa maeneo ya pembe ya Afrika ikiwemo Somalia. " ni jambo zuri" lakini swali langu linakuja hapa "TUTAFANYA HIVYO MPAKA LINI?" msaada wa chakula siyo ufumbuzi katika pembe ya afrika, wakati nchi zinazo saidia ikiwemo Tanzania ambayo imekuwa ya kwanza kujitolea zikiwa pia zinalia njaa, Ndio nakubali tutawapa leo, kesho je?
  Suala la msingi ni afrika sasa kusimama kama Bara huru kuikomboa somalia kutoka katika vita ili waweze kuzalisha, Matatizo yetu eti tunataka tutatuliwe na watu wa nje ya Afrika wakati hao Ndo maadui wetu wakubwa wakiuza Silaha kwa waasi na makundi ya kivita kama al shabab

  Its time to wake up Africa si muda wa kuwa Vibaraka tena
   
Loading...