Busara nyikani: Zitto Kabwe vs CHADEMA

Busara nyikani: Zitto Kabwe vs CHADEMA

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
1,334
Reaction score
1,466
Kwa heshima kubwa sana, naomba ajitokeze mwenye busara au wenye busara ndani ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Ayaweke chini makundi yanayosigishana, kundi la ZZK na kundi lingine ambalo sijui nani kinara, wazungumze migogoro yao yote wayamalize. Tumekuwa tukishuhudia hivi vitimbi kwa miaka minne sasa au zaidi na kila siku ugomvi huu na mvutano huu unachanganya wanachama.

Kama hakuna uwezekano wa kumaliza ugomvi huu ambao unatuchosha sisi wanachama, Viongozi wakuu simameni hadharani mseme mmeshindwa kudhibiti vitimbi ndania ya chama. Hatuwezi kuendesha chama kwenye mitandao na ghilba. Kila mwenye hasira kuaznisha balaa kila siku.

Hakuna taasisi duniani inaendeshwa eti tu kwasababu mnakubaliana au mnapendana la hasha ni kwasababu ya kila mtu kufuata sheria na kuadhibiwa na sheria alizo apa kuzifuata. Leo mitandao ndio sehemu ya viongozi wa chama kufanya maamuzi. sio sahahihi kila mtu ana facebook, tweet, JF ila sijaona wenye busara waliopewa madaraka wakaanza kulalamika kwenye mitandao au kushutumiana kwenye mitandao, ikifa huko watu makini wanajiuzulu au kutafuta suluhu.

Tumechoka na vituko, kiongozi yeyote anayeleta mtafaruku na kiongozi mwenzeke wanaokutana kwenye vikao tunavyolipia kwa gharama zetu hafai kabisa kuwa mwakilishi wa watu. Ukishindwa kuelewana na watu chini ya mia mnaotakiwa kutuongazo kweli itawezekana?

Kaeni chini zunguzmzeni, acheni kutuchanganya.

Chief Mkwawa -Busara iliombwa na wenye hekima. Hekima huombwa kwa Mungu huzaliwi nayo.
 
tatizo ni mbowe na dk slaa wanamtumia lema kumchafua zito then what kwa kua hatoki kaskazini
 
Chadema hatuna mgogoro mkuu,ila zitto anataka kukomesha tabia ya kuchafuana kwa kuwaadabisha wote wanaofanya siasa za majitaka. Hii itakua fundisho kwa wote so we endlea kujenga chama huko uliko mimi najenga huku.
 
Huu ushauri nenda kampe mbowe na slaa wao hawataki kukosolewa walishakuwa miungu watu.
 
Mkuu

1. Hakuna mgogoro CHADEMA

2. Wanapalilia na kujinafasi kwenye media wana nia ya kuiburuza CHADEMA kwenye agenda zao.

3. Kama mpenzi wa hiki chama, mkakati wa chama wa kutojihusisha na malumbano haya ni umakini na busara inayostahili pongezi.

4. Wanachama wajifunze kutakari mikakati ya chama kulingana na sera, mikakati na utendaji wa kila siku.

5. Nakushauri ujijengee uwezo wa kutunza umuhimu wa muda wako kwa kujihusisha na "issues" na si events ambazo ni mkakati wa chama fulani mufilisi

Hata hivyo pole sana kwa adha unayoipata, mimi hainisumbui kwa sababu kila lenye mwanzo lina mwisho na hila zina gharama mwisho wa yote.
 
apo umenena kamanda
 
Umecherewa sasa hivi mambo yote ni muuaji wa CCM ,waziri mkuu mtarajiwa Papaa Kapuya .polea sana mkuu uzi wako ni zilipendwa sana.
 
Mkuu

1. Hakuna mgogoro CHADEMA

2. Wanapalilia na kujinafasi kwenye media wana nia ya kuiburuza CHADEMA kwenye agenda zao.

3. Kama mpenzi wa hiki chama, mkakati wa chama wa kutojihusisha na malumbano haya ni umakini na busara inayostahili pongezi.

4. Wanachama wajifunze kutakari mikakati ya chama kulingana na sera, mikakati na utendaji wa kila siku.

5. Nakushauri ujijengee uwezo wa kutunza umuhimu wa muda wako kwa kujihusisha na "issues" na si events ambazo ni mkakati wa chama fulani mufilisi

Hata hivyo pole sana kwa adha unayoipata, mimi hainisumbui kwa sababu kila lenye mwanzo lina mwisho na hila zina gharama mwisho wa yote.

You nailed it....!
 
issue za zito ni kama santuli ya zamani inavuma sana then inachuja we ,tatizo lenu mnataka kusikia mbowe au slaa ili ,si msubili kwanza maana jamaa kashitaki muone mwisho wake nini we leta issue za
kapuya mbeba umeme tutakuelewa
 
Huu ushauri nenda kampe mbowe na slaa wao hawataki kukosolewa walishakuwa miungu watu.

Oneni magamba mnavyoweweseka hadi mnatia aibu.mlizoea vyama vya msimu na ndoto zenu za cdm kufa,huu ni moto wa gesi 2015 wote mtakuwa mumeshaunguzwa.
 
tatizo ni mbowe na dk slaa wanamtumia lema kumchafua zito then what kwa kua hatoki kaskazini

unajisumbua bure kwa zilipendwa,mbowe na slaa tumewaamini kukiongoza chama chetu cha ukombozi wa watanzania wanyonge wanaodhurumiwa haki zao na kuporwa raslimali za taifa lao.pole sana gamba kwa kukubali kuwa mtumwa wa wauza unga,mafisadi na majangili.
 
Zitto anamuogopa mbowe likija suala la uchaguzi, kwa nini anakomaa eti mbowe asigombee? Wachukue fomu wote wagombee, vipindi viwili ndio nini
 
Mkuu

1. Hakuna mgogoro CHADEMA

2. Wanapalilia na kujinafasi kwenye media wana nia ya kuiburuza CHADEMA kwenye agenda zao.

3. Kama mpenzi wa hiki chama, mkakati wa chama wa kutojihusisha na malumbano haya ni umakini na busara inayostahili pongezi.

4. Wanachama wajifunze kutakari mikakati ya chama kulingana na sera, mikakati na utendaji wa kila siku.

5. Nakushauri ujijengee uwezo wa kutunza umuhimu wa muda wako kwa kujihusisha na "issues" na si events ambazo ni mkakati wa chama fulani mufilisi

Hata hivyo pole sana kwa adha unayoipata, mimi hainisumbui kwa sababu kila lenye mwanzo lina mwisho na hila zina gharama mwisho wa yote.

you were right

Chadema hatuna mgogoro mkuu,ila zitto anataka kukomesha tabia ya kuchafuana kwa kuwaadabisha wote wanaofanya siasa za majitaka. Hii itakua fundisho kwa wote so we endlea kujenga chama huko uliko mimi najenga huku.

nafikiri ulikuwa sahihi

You nailed it....!

just in time
 
Back
Top Bottom