Busara na akili katika siasa

Busara na akili katika siasa

khepembe

Member
Joined
Sep 13, 2024
Posts
47
Reaction score
51
Katika nchi zetu za Afrika, hasa nchi ambazo DEMOKRASIA (Demokrasia kwa Tafsiri ya Kimagharibi) ni changa. Nchi ambazo siasa ni njia ya kutafuta utajiri, nchi ambazo siasa ni ni nyenzo ya kutafuta nguvu katka kijamii. KATIKA MAENEO HAYA UNATAKIWA KUISHI KWA BUSARA ZAIDI, ukichunga akili yako na mdomo.

Katika nchi ambazo siasa sio njia ya kutafuta utajiri na nguvu ktk jamii. Viongozi wa kisiasa ni WATUMISHI wanatumikia Umma, wanakuwa na nguvu tayari, hawapo kutafuta nguvu bali kusaidia.

HAPA AKILI INATUMIKA SANA KULIKO BUSARA. HAPA UNATARAJIA MAENDELEO.
 
No reform, no election. Tupo na Tundu Lissu mpaka kieleweke. No way out.
 
Katika nchi zetu za Afrika, hasa nchi ambazo DEMOKRASIA (Demokrasia kwa Tafsiri ya Kimagharibi) ni changa. Nchi ambazo SIASA ni njia ya KUTAFUTA UTAJIRI, Nchi ambazo SIASA ni ni nyenzo ya kutafuta nguvu katka kijamii. KATIKA MAENEO HAYA UNATAKIWA KUISHI KWA BUSARA ZAIDI, ukichunga akili yako na mdomo.
Katika nchi ambazo SIASA sio njia ya kutafuta utajiri na nguvu ktk jamii. Viongozi wa kisiasa ni WATUMISHI wanatumikia Umma, wanakuwa na nguvu tayari, hawapo kutafuta nguvu bali kusaidia. HAPA AKILI INATUMIKA SANA KULIKO BUSARA. HAPA UNATARAJIA MAENDELEO.
Tz wanasiasa ni waropokaji hodari tu, wabishi na wanachoweza ni kuwachochea na kuwabeba ufala kifikra wanachama wao ili wafanye mambo ambayo ni kinyume na sheria hatimae waumizwe na pengine kupoteza maisha kabisa na kupeleka huzuni na umaskini kwenye familia zao,

huku hao wanasiasa wakibaki kutumia kuumizwa au kifo cha mwanachama huyo kama platform ya kugain public sympathy kitu ambacho hakisaidii chochote kuleta mabadiliko 🐒
 
Back
Top Bottom