Kimbinyiko nauli 18,000
...panda Shabiby ipo poa sana, kuna huduma safi sana kama ndege tu.
Iko maeneo gani mkuu? Unajua bei zake?
Mkabala na Shabiby Petrol station mjini DODOMA
Nenda kalale udom.
uda inayoanzia dar kwenda dodoma
Panda Champion na Guest Nzuri ipo SwaswaWakuu natarajia kusafiri kutoka DAR kwenda Dodoma. Bus gani zuri na nauli ikoje? Kwa wenyeje wa Dodoma, hoteli gani nzuri yenye bei za kuanzia 20,000 - 30,000? Natanguliza shukrani zangu.