bus lapinduka babati , watu 50 walazwa, 8 mahututi

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na bus la Polepole wamelazwa hosp ya mrara Babati baada ya bus hilo kupinduka. 8 hali zao mbaya RADIO1 STEREO
 
Mungu awasadie hao majeruhi wapate nafuu na wapone kabisa. Nini chanzo cha basi hilo kupinduka?
 
Chanzo ni mwendokasi, dereva alikuwa na hasira, alikuwa ametoka kugombana na mwajiriki wake.
Source; radio one breaking news
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom