Burundi's army chief was shot today morning

Burundi's army chief was shot today morning

nimeona mambo matatu...!!
1. Huyu jamaa huenda alikua na mpango wa usaliti kwa piere akamuwahi
2.mahasimu wa piere wapo kazini waki hisi ni njia ya kushinikiza au inapunguza wale top security ili iwe rahisi kumfikia bwana mkubwa
3. kuna external force au internal inatengeneza tension ya kikabila....!!!

No 2 na 3 ndio zinaleta maana. Huyu marehemu alikuwa supporter wa Nkurunzinza tena wale ambao walifanikisha Nkurunzinza kurudi tena baada ya kupinduliwa. Kwa hiyo theory ya kwanza inakuwa sio. Kwa upande mwingine, mahasimu wa Nkurunzinza walishatangaza kuendelea na mapinduzi, na kwa vile hawawezi kupambana jeshi kwa jeshi, wanatumia mbinu zile zile za Kagame za miaka ya 1990 za kulenga watu mmoja mmoja, kutupa mabomu hovyo hovyo etc (guerilla warfare).
Lakini pia uko sahihi kuwa external force ambayo ni Rwanda pia inaweza kuwa behind this kwa sababu the outcome ya mashambulizi kama haya lazima itakuwa 'genocide' pale mgogoro utakapopamba moto. Ambapo kagame atajifanya kuingilia ili kuistopisha na hivyo kuwa na influence over Burundi.
 
Binafsi naona kitendo hicho kina lengo la kutengeneza mazingira ya kumuwinda Mchungaji, jamaa anapaswa kuwa makini zaidi - njama zilizompata Kabila Sr ndio zinasukwa na ma mafia hawa wa Maziwa Makuu - siamini kama vurugu hizi hazichochewi na kuwa financed na external forces, Warundi kama Warundi watafaidika vipi na mauuaji ya Viongozi wao!!

Haingii akili hata kidogo, wanaweza kuwa na tofauti zao kwenye masuala ya siasa lakini mimi naona kisa hiki kimekaa zaidi katika mlengo wa Kikabila kuliko kisiasa - wapo determined kwamba kabila moja tu ndio litawale Burundi, Rwanda na DRC sina hakika kama Viongozi wetu AU walisha lishtukia hilo au la?

Ndugu hongera maana ni wachache huangalia mambo kwa upana wake
 
I think lets leave Rwanda out of this for a minute. Matatizo ni yao burundi na sio rwanda.
Mimi sikubaliani nayo hata kama rwanda inaweza kuhusika na ni simple,kuna leadership vacuum na hakuna functional system. Any system kama haipo imara its prone to be attacked,manipulated or sabotaged. Lets not discuss things dnt exists unless you have a proof.

Labda niseme Tanzania inatazama mchezo na itailinda burundi when the time is up. Rwanda haiwezi kuingilia siasa za burundi maana sio kwao.
 

Nawashangaa viongozi wa afrika mashariki,afrika na dunia!!!
Sasa hivi kuna mauaji mengi sana ya kulipizana visasi yanaendelea huko burundi na kambi ya nyarugusu inazidi kufurika,Nyumba burundi nzima zinachomwa moto kwa idikadi za kisiasa! Waliompinga rais wanaua waliomuunga mkono na waliomuunga mkono wanaua waliompinga ni mauaji ya chinichini lakini jumuiya za kimataifa zimekaa kimya!! Ngoja tusubiri na tutaona burundi inachafuka zaidi na baada ya watu malaki kuuawa ndio jumuiya ya kimataifa itaingilia kati sababu burundi hakuna mafuta wala dhahabu!!!!
 
Back
Top Bottom