Burundi's army chief was shot today morning

Arsenalist1

Senior Member
Jul 13, 2015
163
49
le-chef-des-imbonerakure.jpg 1438507188694.jpg

Former chief of the defense staff and intelligence chief General Adolphe Nshimirimana was assassinated in an ambush on his car Sunday morning.
==================================

Gunmen wearing military uniforms shot dead a former Burundian security chief who was a close ally of President Pierre Nkurunziza on Sunday, the presidency and witnesses said, heightening tensions after a disputed presidential poll.

General Adolphe Nshimirimana, who was in charge of the president's personal security at the time of his death, was killed in a car alongside three of his bodyguards in the Kamenge district of the capital Bujumbura, the sources said.

Witnesses said the four attackers wore military fatigues and sprayed the car with bullets, then drove off shortly after 8am (0600 GMT).

"Two had machine guns and two others rocket launchers. They came in military lorry and returned back in the same car," Paul, a taxi driver, said.

Pictures circulated via social media showed a black bullet-riddled SUV with its front tires flattened and side windows shot out.

"He has been killed by a bullet ... He was in the car with some bodyguards but I don't know exactly what happened," presidential adviser Willy Nyamitwe told Reuters.

The army and police were unavailable for comment.

Burundi has been in chaos since late April when Nkurunziza announced he would seek a third term in office, a move Western powers and opponents said violated the constitution and a peace deal that ended an ethnically-charged civil war in 2005.

Months of protests and a coup attempt were quelled, but the capital and some areas in the countryside have been rocked by sporadic violence and killings.

Some of the army generals behind the attempted coup have vowed to lead a rebellion to oust Nkurunziza, who won the July 21 presidential poll after the opposition boycotted the elections.

African leaders fear the violence could split the country down ethnic lines and lead to another civil war, an alarming prospect for a region still scared by the 1994 genocide in neighboring Rwanda where 800,000 Tutsi and moderate Hutus were slaughtered. Burundi has a similar ethnic make-up.

Western diplomats have also warned a rift in the army could push Burundi back into conflict. The last 12-year civil war pitted the military, which at the time was led by the ethnic Tutsi minority, against rebel factions of the majority Hutus, the biggest of which was led by Nkurunziza.

Source:Reuters
 
Attachments

  • 1438507156454.jpg
    1438507156454.jpg
    30.2 KB · Views: 1,103
Mbona taarifa haijakamilika,kauwawa au kajeruhiwa?

Former chief of the defense staff and intelligence chief General Adolphe Nshimirimana was assassinated in an ambush on his car Sunday morning.
==================================
Kuwa assassinated ina maana ya kuuwawa.
 
Yanayotokea Burundi yangefika mwisho Mwema kama Piere angeamua kufuatwa katiba yao ,vinginevyo wataishia kuuana tu
 
Binafsi naona kitendo hicho kina lengo la kutengeneza mazingira ya kumuwinda Mchungaji, jamaa anapaswa kuwa makini zaidi - njama zilizompata Kabila Sr ndio zinasukwa na ma mafia hawa wa Maziwa Makuu - siamini kama vurugu hizi hazichochewi na kuwa financed na external forces, Warundi kama Warundi watafaidika vipi na mauuaji ya Viongozi wao!!

Haingii akili hata kidogo, wanaweza kuwa na tofauti zao kwenye masuala ya siasa lakini mimi naona kisa hiki kimekaa zaidi katika mlengo wa Kikabila kuliko kisiasa - wapo determined kwamba kabila moja tu ndio litawale Burundi, Rwanda na DRC sina hakika kama Viongozi wetu AU walisha lishtukia hilo au la?
 
Sasa naona imebaki kuliana timing tu imefika mahali na Africa yetu kuuana is the only way to solve problems, it's no longer a matter of 'what's the best plan' , it's the matter of, who's going to die next'. seems like sitting down and have a mature and civil conversation to solve issues is something that's not in our genes. Wenzetu civil wars zilishatokea miaka nenda rudi lakini sisi ndo kwanza tunakusanya kuni kukiwasha.
It's scary to think that Burundi could be another ticking bomb.
 
Tatizo La Burudi Ni Dictator Nkurunzinza. Ni yale yale ya 1994..Tusubiri..

Uko sahihi kuwa ni yale yale ya 1994, ila tatizo sio Nkurunziza hata kidogo. Wapinzani wamesusia uchaguzi lakini wanapiga mabomu wafuasi wa Nkurunzinza. Wametangaza wazi wazi kutaka kupindua nchi na sasa wameanza assassination. Tatizo hapo linakuwaje Nkurunzinza ambaye mpaka sasa hakuna mahakama yoyote ndani ya Burundi wala EAC iliyopinga tafsiri yake ya katiba?
 
Binafsi naona kitendo hicho kina lengo la kutengeneza mazingira ya kumuwinda Mchungaji, jamaa anapaswa kuwa makini zaidi - njama zilizompata Kabila Sr ndio zinasukwa na ma mafia hawa wa Maziwa Makuu - siamini kama vurugu hizi hazichochewi na kuwa financed na external forces, Warundi kama Warundi watafaidika vipi na mauuaji ya Viongozi wao!!

Haingii akili hata kidogo, wanaweza kuwa na tofauti zao kwenye masuala ya siasa lakini mimi naona kisa hiki kimekaa zaidi katika mlengo wa Kikabila kuliko kisiasa - wapo determined kwamba kabila moja tu ndio litawale Burundi, Rwanda na DRC sina hakika kama Viongozi wetu AU walisha lishtukia hilo au la?

Mkuu jamaa wanatumia plan zile zile za 1994 za kukasirisha wahutu ambao ndio wengi ili waanze kulipiza kisasi kwa watutsi. Wao wamesusa uchaguzi halafu wanapiga mabomu vituoni kuua wafuasi wa Nkurunziza (wahutu), halafu mazungumzo hawataki kwani ingawa haipendezi lakini kisheria Nkurunzinza yuko sahihi kikatiba ndio maana mahakama zote za ndani na ile ya EAC zimekubaliana naye, ndio maana hata marekani na nchi zingine haziongelei katiba zinaongelea 'amani' na vitu vingine. Hivyo wanachofanya hawa jamaa ni kile kile alichofanya Kagame, cha kuvamia nchi huru kinyume na sheria.
Wahutu ni zaidi ya 80%, jamaa wakiua mhutu 1 kati ya waburundi 100, statistically ni wameua only 1% ya wahutu. Lakini wahutu wakiua mtutsi mmoja tu kati ya 100 tayari statistically wameua 50%! Kwa hiyo since watutsi ni wachache mauaji hayo hayataitwa vita bali 'genocide', halafu media za mabwana zao marekani ndio utasikia zinapiga kelele n.k
 
In this case, tujiandae tu kupokea ndugu zetu Warundi so long as Nkurunziza stays in the office, if they don't catch him before time.
 
Mkuu jamaa wanatumia plan zile zile za 1994 za kukasirisha wahutu ambao ndio wengi ili waanze kulipiza kisasi kwa watutsi. Wao wamesusa uchaguzi halafu wanapiga mabomu vituoni kuua wafuasi wa Nkurunziza (wahutu), halafu mazungumzo hawataki kwani ingawa haipendezi lakini kisheria Nkurunzinza yuko sahihi kikatiba ndio maana mahakama zote za ndani na ile ya EAC zimekubaliana naye, ndio maana hata marekani na nchi zingine haziongelei katiba zinaongelea 'amani' na vitu vingine. Hivyo wanachofanya hawa jamaa ni kile kile alichofanya Kagame, cha kuvamia nchi huru kinyume na sheria.
Wahutu ni zaidi ya 80%, jamaa wakiua mhutu 1 kati ya waburundi 100, statistically ni wameua only 1% ya wahutu. Lakini wahutu wakiua mtutsi mmoja tu kati ya 100 tayari statistically wameua 50%! Kwa hiyo since watutsi ni wachache mauaji hayo hayataitwa vita bali 'genocide', halafu media za mabwana zao marekani ndio utasikia zinapiga kelele n.k
Acha uwongo wa kibwege wewe,kila mtu anajua issue ni madaraka na katiba then wewe unatuletea eti Hutu Vs Tutsi,ofcourse tunajua interahamwe ndio mnachoona maana akili yenu yote ndipo ilipoishia....i remind you na interahamwe wenzako wote kuna kitu inaitwa NEVER AGAIN na kama mnafikiri ni maneno tuu jaribuni ndoto zenu za uwendawazimu im sure matokeo yatakuwa a lessons for generations to come.
 
Binafsi naona kitendo hicho kina lengo la kutengeneza mazingira ya kumuwinda Mchungaji, jamaa anapaswa kuwa makini zaidi - njama zilizompata Kabila Sr ndio zinasukwa na ma mafia hawa wa Maziwa Makuu - siamini kama vurugu hizi hazichochewi na kuwa financed na external forces, Warundi kama Warundi watafaidika vipi na mauuaji ya Viongozi wao!!

Haingii akili hata kidogo, wanaweza kuwa na tofauti zao kwenye masuala ya siasa lakini mimi naona kisa hiki kimekaa zaidi katika mlengo wa Kikabila kuliko kisiasa - wapo determined kwamba kabila moja tu ndio litawale Burundi, Rwanda na DRC sina hakika kama Viongozi wetu AU walisha lishtukia hilo au la?

Mr. Bucyanayandi fafanua, maana umetuacha in suspense au Rafiki yangu ambaye ame like akusaidie maana atakuwa ameelewa point yako.
 
nimeona mambo matatu...!!
1. Huyu jamaa huenda alikua na mpango wa usaliti kwa piere akamuwahi
2.mahasimu wa piere wapo kazini waki hisi ni njia ya kushinikiza au inapunguza wale top security ili iwe rahisi kumfikia bwana mkubwa
3. kuna external force au internal inatengeneza tension ya kikabila....!!!
 
Back
Top Bottom