Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Rostam and some idiots in the government systems are behind your misery on this
Mkuu uzi ukikamilika tushtuane asee, na sisi tukatazame fursa huko, kwa wenzetu.500k inatosha naandaa uzi
VPn ukitoboa mb 500 Kwa mbinde [emoji16]VPN hazina uhuru zinastack na ngum kutoboa hata 1GB wasikudanganye zote tumetumia
tena umekaza ka unafunga bao.😄😄😄VPn ukitoboa mb 500 Kwa mbinde [emoji16]
Iyo ni kwako mla nyetombaya sana itasababisha kucheki porn usiku kucha na kuharibu ubongo bora bando liwe ghali
Unitag mkuu500k inatosha naandaa uzi
Unitag na miyeSawa
Mzee Baba sio kila MTU anacheki porn Nina miaka minne sijacheki porn nimefunga kabisa sitaki ujinga huombaya sana itasababisha kucheki porn usiku kucha na kuharibu ubongo bora bando liwe ghali