Burundi: Rwanda Will 'Talk' to Burundi Over FDLR After Current Crisis

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738
Rwanda will seek clarity from Bujumbura over the alleged crossing of the Democratic Republic of Congo-based rebels into Burundi.

Rwanda's Minister for Foreign Affairs and Co-operation, Louise Mushikiwabo, disclosed this in a telephone interview on Thursday. She was reacting to an official statement from the Burundi government that said "there has never been FDLR on Burundi territory and never will they be."

This was in reference to the DRC-based Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) militants. FDLR, which has been active since 2000, is composed of fugitive Rwandan Hutu rebels that participated in the 1994 Genocide against the Tutsi.

Burundi stated that it does not need to ally with the rebels since the country has "sufficient capabilities to defend itself against any aggressor." It added that Rwanda does not have proof of FDLR's presence in Burundi.

"Burundi is currently in crisis and we cannot afford to go into counter-accusations, back and forth," said Ms Mushikiwabo. "As I have said before, we want to deal with them when they are back on track.

"We raised this issue even before the crisis in Burundi began. When they have fixed their serious issues, we will approach them and talk about this (FDLR) issue.

"We don't want to pile it onto their load. We will have time to discuss the issues."

In a recent interview with Die Tageszeitung, a German newspaper, Ms Mushikiwabo said that when the crisis in Burundi began, members of the FDLR crossed from South Kivu to Burundi. She hinted that they could be getting protection from the Burundi government.

Burundi however reiterated that Rwanda has no evidence for its claims and that a report by International Conference of the Great Lakes Region (ICGLR) experts presented on June 6 to member states concluded that there were no FDLR in Burundi.

The Burundi government raised a counter-accusation, saying Kigali provided false documents to Rwandans to travel to Burundi and fight alongside forces opposed to President Pierre Nkurunziza's regime.

"Some of those Rwandans who were arrested or killed in combat had on them false Burundi ID cards," Burundi said in a statement. "This evidence of the Rwandan aggression to Burundi has been provided to the AU and to the UNSC (United Nations Security Council).

"All the rhetoric on Burundi by Rwandan authorities is meant to seek the support of Western powers to destabilise Burundi on their behalf and, therefore, fool the international community about the real problems of Rwanda."

Ms Mushikiwabo said the rebel group is "not a military threat to Rwanda" but a threat nevertheless for "maintaining and spreading the genocide ideology, especially in the region."

Source: The New Times
 
1.Rwanda inabwabwaja tu kuhusu FDLR bila ushahidi wowote ule, ripoti ya nchi za maziwa makuu (ICGLR) iliyochunguza imeshasema HAKUNA FDLR Burundi! Mtu mwenye akili timamu ataiaminije Rwanda ambayo haina ushahidi wowote ule popote pale?

2. Burundi imeshapeleka ushahidi AU pamoja na UN kuhusu uhusika wa Rwanda katika mauaji yanayoendelea. Hata ripoti za vyombo vya habari kama Aljazeera zimeshathibitisha kuwa mauaji yanayoendelea Burundi yanaratibiwa Rwanda. Badala ya Rwanda kujibu hoja zilizotolewa dhidi yake, wanarukia hoja ya FDLR ambao nchi zote za maziwa makuu (ICGLR) tulipochunguza hatujawaona huko Burundi ila wao wanawaona! Huyu mushikiwabo kwa nini asiwasilishe ushahidi wake hata EAC tu? Kwa nini hajibu tuhuma specific juu ya uhusika wa Rwanda kwenye machafuko?
 
jMali very well said
Nafatilia kwa karibu sana mgogoro huu.
Hawa Rwanda hawatatulia mpaka waone Nkurunziza ametoka madarakani. Tatizo ni kwamba mainstream media haitoi taarifa sahihi kuhusu Burundi. wanasema tu idadi ya wanaokufa nothing kuhusu identity zao na uchunguzi wa polisi.
 
Last edited by a moderator:

you are very right, wamekufa watu zaidi ya 200 lakini zaidi ya 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza!
 
kwa nini wasitulie? kwani Nkurunziza ni raisi wa Rwanda? taarifa sahihi kama zipi na wazitoe kwa nani? polisi wafanye uchunguzi? wao ndio wanakamata innocent civilian na baada ya kuwauwa miili yao huokotwa barabarani? cc: jMali
 
duh jMali! 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza? umejuaje? je waweza kututhibitishia?
 
Mzee tulia kwanza
Soma na ufatilie vizuri hii conflict
umekuja na jazba sana
Look at the bigger picture
 
Upo mbali sana na huu mgogoro. Jaribu kwanza kutafuta habari toka vyanzo vingine utaelewa mambo machafu ya chini ya carpet kwenye sakata hili.
 
Mzee tulia kwanza
Soma na ufatilie vizuri hii conflict
umekuja na jazba sana
Look at the bigger picture
my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?
 
Upo mbali sana na huu mgogoro. Jaribu kwanza kutafuta habari toka vyanzo vingine utaelewa mambo machafu ya chini ya carpet kwenye sakata hili.
haa wapi! kwa nini nianze kuangaika kutafuta vyanzo vya habari wakati tunajuwa ya kwamba Nkurunziza kajiloga mwenyewe? saa zingine mchawi tusiwe tunamtafutia mbali... cc: jMali
 
kwa nini wasitulie? kwani Nkurunziza ni raisi wa Rwanda? taarifa sahihi kama zipi na wazitoe kwa nani? polisi wafanye uchunguzi? wao ndio wanakamata innocent civilian na baada ya kuwauwa miili yao huokotwa barabarani? cc: jMali

Kama Nkurunzinza sio raisi wa Rwanda mbona Mushikiwabo anawashwawashwa kuongelea Burundi? Anyway wamekufa watu zaidi ya 200. Jibu haya maswali kwanza:

1.Katika hao 200+ ni wangapi wameokotwa barabarani na ni wangapi wameuawa kwa mashambulizi ya "sindumuja" ya kurusha mabomu hovyo hovyo? Takwimu zote zinaonyesha waliokufa kwa these random attacks by armed people ndio majority ya wahanga.

2.Katika hao 200+ ni wangapi wanampinga Nkurunzinza na ni wangapi walikuwa wanam-support Nkurunzinza? Takwimu zote zinaonyesha wahanga majority ni CNDD-FDD supporters. Senior gov officials wote wanaomsupport Nkurunzinza wanaishi kwa mashaka kutokana na assassination attempts kila siku, the latest being the mayor of Bujumbura!

3. Katika hao 200+ wangapi ni wahutu na wangapi ni watutsi? Maana mko bize kudai kuna genocide inaendelea wakati majority ya wahanga ni wahutu. Kama ambavyo genocide yenu ya Rwanda ukiuliza statistics unawekwa ndani.
 
duh jMali! 80% ya hao marehemu ni wafuasi wa Nkurunziza? umejuaje? je waweza kututhibitishia?

Unadhani mgogoro huu hauna majina kama ule wa kwenu? Kila marehemu anajulikana. Sio kama ile 'genocide against x' yenye marehemu wengi kabila 'y'. Lakini ukihoji unawekwa ndani!
 
my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?

Mahakama mbili zimekubaliana na tafsiri yake, wewe unajua sheria kuliko mahakama? Na 'mshikemshike' uko kwenye wilaya mbili tatu pekee za mji wa Bujumbura. Epuka kutumia neno Burundi as if nchi nzima inawaka moto.
 
Kama Nkurunzinza sio raisi wa Rwanda mbona Mushikiwabo anawashwawashwa kuongelea Burundi? Anyway wamekufa watu zaidi ya 200. Jibu haya maswali kwanza:

1.Katika hao 200+ ni wangapi wameokotwa barabarani na ni wangapi wameuawa kwa mashambulizi ya "sindumuja" ya kurusha mabomu hovyo hovyo? Takwimu zote zinaonyesha waliokufa kwa these random attacks by armed people ndio majority ya wahanga.

2.Katika hao 200+ ni wangapi wanampinga Nkurunzinza na ni wangapi walikuwa wanam-support Nkurunzinza? Takwimu zote zinaonyesha wahanga majority ni CNDD-FDD supporters. Senior gov officials wote wanaomsupport Nkurunzinza wanaishi kwa mashaka kutokana na assassination attempts kila siku, the latest being the mayor of Bujumbura!

3. Katika hao 200+ wangapi ni wahutu na wangapi ni watutsi? Maana mko bize kudai kuna genocide inaendelea wakati majority ya wahanga ni wahutu. Kama ambavyo genocide yenu ya Rwanda ukiuliza statistics unawekwa ndani.
haya sasa, nakuomba uthibitisho wako lakini bado unakuja na story tu... nnacho juwa mimi ni kwamba ukiona mtu Burundi siku hizi kachukuliwa na police basi kesho yake lazima muokote maiti yake barabarani... katika hali ya hivyo nani wa kulaumiwa?
 
my friend there is no big picture to look at here, things are very simple! Arusha ambayo ndio imempa madaraka allowes only 2 terms, katiba yao nayo inasema eti unaruhusiwa kutawala awamu mbili iwapo utakuwa umechaguliwa na wananchi! hayo ndiyo yameleta mshikemshike ndani ya Burundi... sasa hayo ya Rwanda... sijuwi Kagame yote yanini kama sio uFDLR wenyewe huo?

The conflict in burundi is complex than what we read on papers.
Ndo maana nakwambia umekuja na jazba
There are things u dont read on papers maana havizungumziki.
Kama parties from the opposition can dialogue and reach a consensus with the ruling regime, kwa nini wewe unaamini kuhusu FDLR. If at all ingekua ni kweli vyama vya upinzani vingepiga kelele.
 
Mahakama mbili zimekubaliana na tafsiri yake, wewe unajua sheria kuliko mahakama? Na 'mshikemshike' uko kwenye wilaya mbili tatu pekee za mji wa Bujumbura. Epuka kutumia neno Burundi as if nchi nzima inawaka moto.
kwa hiyo wakimbizi ambao kwa hivi sasa wana zidi 200,000 wote wametokea kwenye hizo wilaya tatu unazosema wewe? we acha kumtetea Nkurunziza, kapata uraisi kupitia makubaliano ya Arusha! ambayo yalimruhusu na kumpa fursa ya kuchaguliwa kama raisi mara mbili! sasa leo inakuwaje hadi wanasheria waingie kati kumtetea eti hajaongoza nchi mara mbili? sasa kimenuka, oohh Rwanda
 
The conflict in burundi is complex than what we read on papers.
Ndo maana nakwambia umekuja na jazba
There are things u dont read on papers maana havizungumziki.
Kama parties from the opposition can dialogue and reach a consensus with the ruling regime, kwa nini wewe unaamini kuhusu FDLR. If at all ingekua ni kweli vyama vya upinzani vingepiga kelele.
we nae bwana acha story zako... naona we mgumu kuelewa sana! lakini kabla hujaendelea kunifunga hizo kamba zako ningependa niongeze kukuambia haihitaji kuwa mwanasheria kusudi uelewe usaliti wa Nkurunziza kwa wazee waliodhuria makubaliano ya Arusha au warundi waliokubali yaishe kusudi waishi kwa amani... hizo story za kuunga-unga ndio zinatufanya waafrika tusifike pahali...
 
Mahakama mbili zimekubaliana na tafsiri yake, wewe unajua sheria kuliko mahakama? Na 'mshikemshike' uko kwenye wilaya mbili tatu pekee za mji wa Bujumbura. Epuka kutumia neno Burundi as if nchi nzima inawaka moto.
mahakama gani hizo? au mojawapo ni ile supreme court ya Burundi ambayo VP wake aliponea chupuchupu baada ya kupinga uhuni wa Nkurunziza na kukimbia nchi? jMali jinsi unavyomtetea Nkurunziza kwa hali na mali, inanifanya niamini kabisa uwepo wa FDLR Burundi bila hata uthibitisho! lazima kutakuwepo na walakini maana hata Mugabe as you know him, says this https://www.youtube.com/watch?v=ldIZ0aPNtbo
 
Upo mbali sana na huu mgogoro. Jaribu kwanza kutafuta habari toka vyanzo vingine utaelewa mambo machafu ya chini ya carpet kwenye sakata hili.
haya wewe uliye pitia hizo za kuaminika tuambie basi hayo mambo machafu ya chini ya carpet! acha story za vijiweni mzee, Nkurunziza kajiloga mwenyewe kutokana na utawala wake wa kivivu, Rushwa na kujiibia(kuuza mali za serikali kisiri) warundi walikuwa wanamuhesabia siku ifike awapishe kwa amani!
 
jMali

Ndio maana hata ICGLR wamehamisha makao makuu yao Lusaka sio...because of a few random attacks. Pleeeease spare me your bulls#@....hii tayari inaanza kuonyesha dalili za genocide. Sasa sijui internatational community wakisema wanaona dalili za genocide wana maana genocide against who? You can wash it shampoo it and even put perfume on in but it still smells like genocide is being perpertrated in burundi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom