Burundi president's aide survives attack, guard killed

Burundi president's aide survives attack, guard killed

Huko bujumbura Kuna haja ya kumtengenezea hata bulletproof ya kichwa sidhani kama anaweza hata kutembelea wananchi kama huku kwetu
 
Rais mpaka kufika kushambuliwa ....

Inaonyesha kiasi gani unachukiwa kupita kawaida.......

Hata Rais wetu anachukiwa lakini hawezi fikia kuwango cha kushambuliwa.....
Labda anachukiwa na wajumbe wa halmashauri kuu ambayo wewe ni mmojawapo.
 
Haya mambo anayoyafanya Magufuli Baadhi si ndio Yale yalikuwa yakipigiwa chapuo bungeni?

Rais Magufuli amefanya Makosa kama

1 : Kutoeleweka wapi pesa za Tetemeko zote zilikoenda...

2 : Kutokuwapa pesa watoto wa vyuo vikuu vyote
3: swala la Ajira hasa kwa walimu na madactari.

Lakini wote tunajua kwamba ni kwa sababu pesa hakuna ,Serikali haina pesa za kutosha kwa sasa .

Lakini kwenye Mambo mengine yote Rais anayoyafanya yupo sahihi kabisa.....

1: Swala la safari za nje Mbowe na Mbatia walimshambulia sana Kikwete sasa hivi wanalaumu Magufuli kutosafiri? Kwanini tusiwaalike wakina Trump waje Tanzania kuliko kusafiri kwenda marekani? Kwani haiwezekani?

2: Swala la Udicteta lazima Rais awe dicteta kwa baadhi ya mambo ili nchi iende mbele.....

Mnyika alisema Kikwete ni Rais thaifu hata Mimi nilimshangilia baada ya kuona ni kweli.
Rais kuwaruhusu chadema kufanya mikutano na Maandamano kwa kutumia pesa za walipa kodi ambazo wanapata kama Ruzuku si ni ujinga .

We unajua utaandamana lakini baada ya hapo hakuna positive impact yeyote itakayotokea zaidi ya kuongea maneno mengi na kutumia Pesa za Ruzuku vibaya .
Hizo pesa si ni bora kwenda kujenga office za chama vijijini?.

3:Zitto alisema shirika la ndege limekufa sasa limefufuliwa anasema ndege ni mbovu sasa uzalendo wake tutaulewa vipi?

4 Upinzani awamu ya nne ulipiga kelele kuwa Reli ya kati imekufa kwa sababu wakina Riziwani kuweka Maroli ya GSM barababarani na kuamua kuua reli sasa reli inatengenezwa kiwango cha Standard gauge kuna watu bado wanataka kuhujumu hii ili magari ya mafisadi yaendeelee kusafirisha bithaa kwa garama kubwa .

Sioni lowassa Akiibuka tena na akiibuka tena nitabadiri uraia wa nchi Mimi bado naamini Lowassa ni fisadi aliyefanikisha nchi kupata hasara huko nyuma na nitaamini hivyo mpaka naenda kaburini!!

Bado naamini Pombe ana nia nzuri na Tanzania tuache siasa za kijinga tujenge nchi..

Lowassa aende atafute kazi nyingine ya kufanya Urais ulishakataa naomba Aige Hillary Clinton.

Labda anachukiwa na wajumbe wa halmashauri kuu ambayo wewe ni mmojawapo.



Kiufupi Mimi uwa sina chama kila mtu uwa namchana
 
Rais mpaka kufika kushambuliwa ....

Inaonyesha kiasi gani unachukiwa kupita kawaida.......

Hata Rais wetu anachukiwa lakini hawezi fikia kuwango cha kushambuliwa.....
Huyo hatajwi ndani ya mwaka mmja ni wa kuogopeka je akikaa miaka aliyofikisha huyo mwenzie?
 
Una milioni saba mkuu ivanorkababu ?
Hii serikali imeset macho mpaka kwenye keyboard,angalia zisije zikakutaja kuwa ni wewe umemuita mtu hilo jina la Nkurunzinza
Hao ndo wakishadakwa huanza kulialia wakitaka huruma ya wanasiasa .....
 
Kinachoendelea Burundi it is beyond your imagination
 
Hapana ilitakiwa kama wameazimia wammalize sasa wnampomjeruhi mkono kwa risasi anabakia hai maana yake nini? si wanamchokoza? kama vile simba maaan akijeruhiwa anakuwa mbaya zaidi. ina maana ataanza kulipa kisasi!! sasa hapo ndiyo shida hakuna demokrasia. Hope umenielewa vema. sifurahii kuona binadamu mwenzangu akitaabika kwa maslahi ya wachache

Mkuu Majority ya Warundi hawana tatizo na Nkuruzinza, matatizo hayo ni ya kupandikizwa kutoka nje wakishirikiana na wachache walio ndani - ni suala la ukabila tu wala hakuna kitu kingine.

Nkuruzinza na viongozi wenzake wanalijua sana hilo - watatafuta mbinu za ku-deal nao - wakijitia kujua hili na wao wanajua hili - wote ni mabingwa wa medani za vita vya misituni.
 
Back
Top Bottom