Burundi picks a hill to launch fresh attack on Rwanda

Viip kuhusu JK??
 
JK kashakushikisha adabu yuko zake msoga kapumzika we endelea ligi ndogo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka aliniomba radhi yaishe, nani asiyejui hilo
 
I agree with you Mr. President Kagame is very strong, but kuhusu ile tofauti yao na JK, i can assure you Our JK was next level
kagame alipanic sana, na kuanza kuongea kama zuzu Fulani baada ya kuibiwa kizibo cha soda
 
Tanzania ndio waliongoza operations, Malawi wanatafuta sifa
 
jamani hivi ni kwanini huyu mzee nkurunzinza watu mnamuonea sana acheni atuliee zakee
 
Ni bora huo mtafaruku uishe kwa njia ya dipromasia. Kwani hao jamaa rwanda and burundi wakiingia vitani Tz itaathirika zaidi kwa wakimbizi isitoshe kwa urafiki wa JPM na PK kuna uwezekano tukawasaidia rwanda.ambapo burundi itashindwa. Waishie hapo hapo i love Tz , Burundi and Congo DRC.
 

Acha ushabiki mandazi Kagame hawezi hata roho yake inajua kutunishiana misuli na S.A au France wewe punguza ushabiki
 
Hapo kuna mtu alikua anatafutwa vizuri amejiingiza kingi,ngoja akatolewe uraisi mapemaa
 
Burundi ni wa kuchangiwa na mataifa mawili ili apigwe?Hata Commoro inamchapa Burundi mchana kweupe
 
Acha kuandika Pumba wewe Wanyarwanda mpaka kesho hawamsahu JK Inaelekea hizi nchi huzitembelei au hujawahi hata kuzitembelea Eti Mzee wa watu akawa mpole Hovyoooo ..Gogoro linatokea nipo Butale na Cyangougou Rwanda /DR Congo Border Uliza utaambiwa alitamani ardhi ipasuke
 
ivi unaijua burundi au unaisikia yaani burundi ikingia vita na rwanda yaani rwanda itachakazwa mara moja
 
Burundi ni wa kuchangiwa na mataifa mawili ili apigwe?Hata Commoro inamchapa Burundi mchana kweupe
burundi ni rafiki na somalia sasa kama mnataka kuiona dunia chungu nyie wachokozeni mtaona balaa lake
 
Aje amtunishie misuli na jpm aone moto wa gas unaunguzaje
 
Mkuu achana na Malawi sidhani hata kama wanaweza pambana na panya road
 
Ni kweli mkondo wa mto pale mpakani unahamahama na hivyo kuhamisha mpaka, lakini this time ulivyohama na kilima kuhamia Rwanda, majeshi ya Rwanda yakaenda kuwavunjia nyumba raia wa Burundi kwenye kilima kile.
So rwanda ndio wakorofi.....na siku zote mkorofi ndio huwa anachezea dozi
 
Naona kuna kitu hujaelewa ndugu. Kwanza unaijua historia ya migogoro nilioizungumzia baina ya Rwanda na nchi hizo? M23 ilikua inasaidiwa na Rwanda ndio, lakini M23 haijawahi kua sehemu ya keshi la Rwanda right? Note simtetei Kagame nimefanya rejea ya historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…