Ni aibu kwa rika jipya la viongozi wa Africa kuwa na uchu wa madaraka kama ilivyokuwa kwa rika la viongozi waasisi wakina Kamuzu Banda, Mobutu, Omar Bongo, Mugabe etc
Kwa rika hili la kina Nkurunziza, Kabila Jr na Rajoelina tulitegemea kupata kwao nafasi basi tutapata Africa mpya yenye muono mpya wa kujali demokrasia na ukomo wa madaraka kwa kuheshimu katiba lakini mambo ni yale yale. Hii ni laana!