MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 560
- 320
Kwa taarifa tunazozipata kutoka nchini burundi kwa sasa kwamba,maandamano yanaendelea.milupuko ya guruneti imetokea mjini bujumbura na hivyo kuonyesha dalili za warundi kurudi vitani.hii ni hatari sana kwa east africa yetu.nachoomba au nachomsihi mheshimiwa raisi wa burundi akubali kutogombea ili kuzuia machafuko tena nchini burundi.vita ina athari kubwa sana hata kwetu sisi huku kahama mkoani shinyanga itatuathiri.why?kwasababu endapo kama vita itatokea hata uharifu utaongezeka!
Tatizo kubwa sana la viongozi wa Afrika wanapoingia madarakani huanza kufikiria juu ya matumbo yao kiasi kwamba ata watu wauawe namna gani yy hata hashtuki maadam familia yake iko salama huziba masikio. Ndio afanyayo #Nkurunzinza kwa sasa maana kwa mwenye busara na mpigania maslahi ya nchi angekua tayari katanga kutogombea hadi sasa. Lakin bado anapeta ofisini huku nchi anazidi kuiingiza vitani.
Hata viongozi wetu waafrika nao pia ni useless maana hadi sasa hawajaonesha juhudi zozote za kuutatua mgogoro huu mpk mataifa ya juu yatakapokuja kulinda raia watasimama kupinga juhudi za mataifa haya kwa madai ya kivamiwa afrika nchi zenye mamlaka kamili ingali hawasimami kidete kutatua changamoto kabla hazijawa matatizo
Nasikia hata Kikwete ana mpango huo huo.East Africa nzima italipuka...Naambiwa Kagame na Mu7 nao wana mpango wa kuongeza muda...
Tatizo ni kwamba tunaviongozi wanafiki sana huyu alitakiwa aondolewe kwa lazima kwa uhuni huuKwa taarifa tunazozipata kutoka nchini burundi kwa sasa kwamba,maandamano yanaendelea.milupuko ya guruneti imetokea mjini bujumbura na hivyo kuonyesha dalili za warundi kurudi vitani.hii ni hatari sana kwa east africa yetu.nachoomba au nachomsihi mheshimiwa raisi wa burundi akubali kutogombea ili kuzuia machafuko tena nchini burundi.vita ina athari kubwa sana hata kwetu sisi huku kahama mkoani shinyanga itatuathiri.why?kwasababu endapo kama vita itatokea hata uharifu utaongezeka!
Nikiifikiria Burundi ileee nikigeukia kwenye afrika hiii huwa napatwa na ganzi ya mwili gafla waasisi wa hizi nchi hawakungangania madaraka hawa misukule wanaoishi ndio wanajiona Dunia wamepewa wao na familia zao moto wa mbingu upate kuwaunguza wote.
kwa taarifa tunazozipata kutoka nchini burundi kwa sasa kwamba,maandamano yanaendelea.milupuko ya guruneti imetokea mjini bujumbura na hivyo kuonyesha dalili za warundi kurudi vitani.hii ni hatari sana kwa east africa yetu.nachoomba au nachomsihi mheshimiwa raisi wa burundi akubali kutogombea ili kuzuia machafuko tena nchini burundi.vita ina athari kubwa sana hata kwetu sisi huku kahama mkoani shinyanga itatuathiri.why?kwasababu endapo kama vita itatokea hata uharifu utaongezeka!
Nkurunzinza anafaa kuendelea.
Kelele za.watusi wa bujumbura ni ubinafsi waliozaliwa nao#
Watusi wanataka kutawala mbona hawamwambii ndugu yao kagame asigombee!!! Na mseven !!!