Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
...loh! huyu Rais Pierre Nkurunziza amenogewa utamu wa madaraka, nakutaka kuwania urais kwa muhula wa tatu! !
Hyo di tshirt tu ya taifa stars.!jamaa analikubali chama bas!Polisi wenyewe wa kike huyu hapa huyu. Sema huyu jamaa anatupakazia kabeba mawe anampiga polisi huku kavaa t-shirt imeandikwa Tanzania......
Hyo di tshirt tu ya taifa stars.!jamaa analikubali chama bas!
Polisi wenyewe wa kike huyu hapa huyu. Sema huyu jamaa anatupakazia kabeba mawe anampiga polisi huku kavaa t-shirt imeandikwa Tanzania......