AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
unajua madenge ndio inawezekana alisuka huu mpango ili kumuweka mtu wake pale atakayemwendesha kama boga yule wa drc?dah, hii imefeli inabidi madenge aendelee na ile singo ya "FDLR imeingia burundi"...:becky:
nitamuona nkurunziza ana akili san akama atawasamehe wote hao, na kuwaambia warundi tusameheane na tuanze ukurasa mpya. hapo atasifiwa hata mabaya yote aliyowahi kuyafanya yatasahauliwa. kama kweli ana akili ajaribu kuwateka wananchi kwa kufanya icho kitu. samehe wote kuanzia huyo generali hadi waasi wote na wala asiwafanye kitu. akiwafanya chochote, kisasi hakitakuja kuisha.Ina maana kuna jeshi la Tanzania uko?
Asiyeng`ang`ania madaraka nani? Mbowe je,profesa lipumba je,slaa je,Maalim seif je,mrema je,makaidi je,Mbatia je,JOHN cheyo JE? Mtikila jE?
KWELI NYANI HAONI KUNDULE.kawaulize viongozi wote wa vyama vya upinzani wataachia madaraka ya kuongoza vyama wengine lini?
acha kuingilia siasa za watu wakati za kwenu zimekushinda!!! hivi unaanza kwa kuzuga lakini wakishaingia kwenye 18 zako kwisha habari, utaaza kuwalisha zile sumu zako za ukabila...sawa sawa, na kila anayegombea nao anafukuzwa kama Zitto-CDM, Prof safari-CUF, jidulamabambasi-UDP,......hawakumbuki sijui kwa nini.
Nimesononeka sana haya Mapinduzi kutofanikiwa ni hayo tu!
sawa sawa, na kila anayegombea nao anafukuzwa kama Zitto-CDM, Prof safari-CUF, jidulamabambasi-UDP,......hawakumbuki sijui kwa nini.
shibuda wapi vileee!
Nkurunziza will get what he ask for.that coup was a good message for him to run safely.now it will be a bullet in the head.
Nkurunziza yuko sahihi kugombea muhura mwingine. ili kujua hili ebu tujiulize! hivi sheria ikitungwa, ina mwanzo wa kutekerezwa kwake?? au inaanza kuhukumu wote waliofanya makosa kabla ya kuwekwa kwa sheria hiyo? kama hakubariki nchini Burundi kwanini wasiruhusu agombee halafu apigwe chini kwa njia ya kura kama ilivyofanyika Nigeria? mbona maandamano ni Bujumbura tu? mikoa mingine haina watu?
Angeshutumiwa kwa kosa la ubadhirifu, au matumizi mabaya ya madaraka hiyo ingekuwa sahihi zaidi ingawa hata hivyo yangetumika kama turufu ya kumshinda kwenye uchaguzi. Waache vurugu wote wanao tafuta nafasi hiyo ya uraisi, wavumilie tu mpaka baada ya miaka 5 ijayo.
Nkurunziza will get what he ask for.that coup was a good message for him to run safely.now it will be a bullet in the head.
kupindua serikali yoyote halali madarakani ni uhuni
Kwa wanajeshi wale hata kuku hawawezi kumuuwa..unatangaza mapinduzi kipumbafu namna ile ....nkurunziza atatawala milele