Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwaJiji zuri sana mandhari yake ila maviongozi ndiyo sheeeeeedaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeona mkuu asantee, Mods watarekebishaBujumbura city gallery
Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwa
mji wao wa bujumbura ni wa kimasikini kuliko hata mwanza. labda kigali kidogo ndio iko sawa na mwanza. nimeona al jazeera mapigano yameshaanza kati ya waasi na jeshi la serikali.Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwa
Tofauti na watu wengi tulivofikiri tulizani Burundi ni masikini wa kutupwa
hebu fafanua kidogo waasi na jeshi la serikali tena ? mwanzo kulikuwa na taarifa wanajeshi wametofautianamji wao wa bujumbura ni wa kimasikini kuliko hata mwanza. labda kigali kidogo ndio iko sawa na mwanza. nimeona al jazeera mapigano yameshaanza kati ya waasi na jeshi la serikali.
naangalia al jazeera sasaivi, nimeona watu wanakimbiakimbia na kuna moshi wa mapigano unafuka, wamesema those royal to the general wanapigana na wale royal to nkurunziza.vita vya wenyewe kwa wenyewe imeshaanza.hebu fafanua kidogo waasi na jeshi la serikali tena ? mwanzo kulikuwa na taarifa wanajeshi wametofautiana
kazi ipo hapo kwa hiyo Piere ndoo bass tena maana mambo yanazidi kuharibika , inaelekea Piere anapenda vita sana hata ukiangalia yeye mwenyewe alikuwa kiongozi wa waasinaangalia al jazeera sasaivi, nimeona watu wanakimbiakimbia na kuna moshi wa mapigano unafuka, wamesema those royal to the general wanapigana na wale royal to nkurunziza.vita vya wenyewe kwa wenyewe imeshaanza.