Burundi Blocks Repatriation Of Deceased Bihozagara

mchambawima1

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
2,487
Reaction score
738

m_21.jpg

Authorities in Burundi have refused to release the body of deceased Rwandan Ambassador Jacques Bihozahara until his family signs statement exonerating Burundi government.

Specifically, Burundi wants the family to say that Bihozagara died of natural death. He was assassinated in Mpimba maximum security prison where he has been held since December.

Until the document is signed, the family says, Burundi government will not hand over the body.

Apparently a family member who has been following up the case has been deported because he told Burundi authorities the family will not accept being blackmailed.

The government of Rwanda has demanded a full investigation into his death.

Source: KT Press
 
Sasa hivi ni mauaji ya kimya kimya ya kulipizana kisasi. Akiuawa Mhutu within 24hrs lazima auawe Mtutsi. Hali kama ikiendelea namna hii Watutsi wanaumia zaidi. Sasa hivi Watutsi wako kwenye maandalizi ya kuanzisha full scale war kwa msaada wa Kagame ili wapate kisingizio cha wao kuwa wahanga wa genocide kama ilivyo desturi yao!
Walisha experiment genocide huko Rwanda ikafanikiwa.
 
Mkuu hata wahutu wamejipanga. This time it won't be easy as such. Ingekuwa zamani wakati wahutu hawana makamanda wa kijeshi, paka angekuwa keshaweka mtutsi mwenzie madarakani Burundi. Ili kuonesha warundi wanajiamini, wamemdiscipline shushu wa Rwanda ili paka alete fyokofyoko wamnyooshe. Narudia tena, paka anaujua vizuri mchapo wa cndd-fdd kabla hawajaingia serikalini ndio maana tangu spy wake afie jela ameufyata.
 
OMG! wamemdiscipline? vyuma acha kufuru, mzee Bihozagara hivi ni marehemu wewe! alafu ndugu zako wamengángánia maiti sijui mnataka kuifanya nini! nyie watu wa ajabu sana mna adhibu hadi maiti? endeleeni na hiyo michezo siku wazee wakazi wakishuka sijui mtakimbilia wapi... anyway endeleeni na unyama wenu
 
Mr. Vyuma, ijapokuwa cndd-fdd wame-train Imbonerakure kuwa jeshi kamili ambalo liko kila kijiji ila naona ume-exaggerate (inflate) mno uwezo wa Wahutu kukabiliana na kuwashinda Watutsi ambao wanaungwa mkono na serikali za Kagame na Museveni na majeshi yao. Pia kumbuka kwamba Kagame na Museveni wanaungwa mkono na US, Canada, Israel, Australia pamoja EU countries. Mataifa haya kwa pamoja yameiwekea vikwazo serikali ya Nkurunziza ili kuidhoofisha. Vikwazo ni sehemu ya vita kwani wanatengeneza mpasuko (rift) jeshini utakaotokana na serikali kushindwa kulipa mishahara ya wanajeshi. Hapo ndipo itakuwa rahisi kwa Kagame na wapambe wake kuipiga Burundi na kuweka kibaraka wao kisha kufaidi rasilimali za Burundi (nickel, cobalt, tin, gold, petrol, diamond, nk.) ambazo bado hazijawa extracted. Mataifa ya ulaya na US wamekasirishwa na hatua ya raisi Nkurunziza kuwanyima mikataba ya kuchimba madini badala yake amewapa Warusi na Wachina. Muhula wa 3 wa raisi Nkurunziza ni kisingizio tu. Eti Kagame na Museveni wao ndio maraisi wanaofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
 
Mbona Kagame anawaadhibu marehemu waliokufa wakati wa genocide kwa kufanya skeleton zao kuwa vivutio vya watalii?
 
Mr. Vyuma, ijapokuwa cndd-fdd wame-train Imbonerakure kuwa jeshi kamili ambalo liko kila kijiji ila naona ume-exaggerate (inflate) mno uwezo wa Wahutu kukabiliana na kuwashinda Watutsi ambao wanaungwa mkono na serikali za Kagame na Museveni na majeshi yao. Pia kumbuka kwamba Kagame na Museveni wanaungwa mkono na US, Canada, Israel, Australia pamoja EU countries. Mataifa haya kwa pamoja yameiwekea vikwazo serikali ya Nkurunziza ili kuidhoofisha. Vikwazo ni sehemu ya vita kwani wanatengeneza mpasuko (rift) jeshini utakaotokana na serikali kushindwa kulipa mishahara ya wanajeshi. Hapo ndipo itakuwa rahisi kwa Kagame na wapambe wake kuipiga Burundi na kuweka kibaraka wao kisha kufaidi rasilimali za Burundi (nickel, cobalt, tin, gold, petrol, diamond, nk.) ambazo bado hazijawa extracted. Mataifa ya ulaya na US wamekasirishwa na hatua ya raisi Nkurunziza kuwanyima mikataba ya kuchimba madini badala yake amewapa Warusi na Wachina. Muhula wa 3 wa raisi Nkurunziza ni kisingizio tu. Eti Kagame na Museveni wao ndio maraisi wanaofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
muhura wa tatu ni kisingizo?
 
Mkuu, unachokisema ni sahihi kwa % 99. Lakini kusema nime exaggerate uwezo wa wahutu kupambana, naweza nikatolea maelezo. Miaka ya nyuma ya 2004 kurudi nyuma, watutsi walikuwa wanafanya wanachotaka Burundi. Raia waliweza kumchagua rais wao kudemokrasia kabisa, watutsi waliweza kumg'oa na kumuua dakika yoyote waliyoitaka. Hawakuweza kusubiri wabembeleze vikwazo vya ulaya. Kumbuka rais Melchior Ndadaye alivyouawa kama kuku mwaka 2003. Unafikiri kama wahutu wasingekuwa na jeshi Nkurunziza si angekuwa kesha uwawa ?
 
Mr. Vyuma, ijapokuwa cndd-fdd wame-train Imbonerakure kuwa jeshi kamili ambalo liko kila kijiji ila naona ume-exaggerate (inflate) mno uwezo wa Wahutu kukabiliana na kuwashinda Watutsi ambao wanaungwa mkono na serikali za Kagame na Museveni na majeshi yao. Pia kumbuka kwamba Kagame na Museveni wanaungwa mkono na US, Canada, Israel, Australia pamoja EU countries. Mataifa haya kwa pamoja yameiwekea vikwazo serikali ya Nkurunziza ili kuidhoofisha. Vikwazo ni sehemu ya vita kwani wanatengeneza mpasuko (rift) jeshini utakaotokana na serikali kushindwa kulipa mishahara ya wanajeshi. Hapo ndipo itakuwa rahisi kwa Kagame na wapambe wake kuipiga Burundi na kuweka kibaraka wao kisha kufaidi rasilimali za Burundi (nickel, cobalt, tin, gold, petrol, diamond, nk.) ambazo bado hazijawa extracted. Mataifa ya ulaya na US wamekasirishwa na hatua ya raisi Nkurunziza kuwanyima mikataba ya kuchimba madini badala yake amewapa Warusi na Wachina. Muhula wa 3 wa raisi Nkurunziza ni kisingizio tu. Eti Kagame na Museveni wao ndio maraisi wanaofuata misingi ya demokrasia na utawala bora.
Nendeni mkawapige warundi kwa kisingizio kuwa wamepigwa na sactions za mabwana zenu wazungu, mtapigwa hata na kamikaze
 
Mkuu Gama, naona umeamua kutukana badala ya kujadili komenti yangu!
Nimehoji uwezo wa Wahutu kushinda full scale war!

Wahutu+Urusi+China+Irani
VS Watutsi+US+Israeli+Canada+Australia+EU+Sanctions

Kwa mtu ambaye ni GT angejibu hoja badala ya kutukana. Huoni siku hizi Mchambawima amekua (to grow up) kaacha kutukana?
Nakushauri kabla ya kuchangia komenti ya mtu usome kwanza kuanzia komenti ya mwanzo ya topiki husika ili u-capture msimamo wa mtu kwenye jambo linalojadiliwa. Wewe hujafanya hivyo kwa sababu unasukumwa na jazba na kushindwa kutafakari vema badala yake unaishia kutukana. Jifunze kwa Jmali!
 
Point of correction: Raisi Melchior Ndadaye aliuawa Octoba 1993 siyo mwaka 2003!
 
Nendeni mkawapige warundi kwa kisingizio kuwa wamepigwa na sactions za mabwana zenu wazungu, mtapigwa hata na kamikaze
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] umesema vyema mkuu
 
OMG! wamemdiscipline? vyuma acha kufuru, mzee Bihozagara hivi ni marehemu wewe! alafu ndugu zako wamengángánia maiti sijui mnataka kuifanya nini! nyie watu wa ajabu sana mna adhibu hadi maiti? endeleeni na hiyo michezo siku wazee wakazi wakishuka sijui mtakimbilia wapi... anyway endeleeni na unyama wenu
Kukufuru vipi ? Hujasikia al shaabab walivyomfanya kijana wa kitanzania kwa kuspy? Huyo ndugu yako alikuwa anaspy nchi ya watu ulitaka wampe unaibu waziri ?
 
Duh! kwa hiyo nyie na Alshabaab ndio walewale? halafu bado unamuita Nkurumbi Raisi na Burundi ni nchi inayoongozwa na watu wenye akili timamu? amazing!
 
Ni rais halali wa Burundi. Amechaguliwa kidemokrasia kabisa na wananchi wa Burundi. Halafu Nkurunziza sio fisadi kama paka.
 
Back
Top Bottom