Burundi Blocks Foreigners at Border as Violence Escalates

Mkuu, hapo kagame mwenyewe ni staili ile ile na museven wake........LOL
 

Kikwete hawez hata kuthubutu kung'ang'ania kwan ameshaanza kuaga tayari!people want power and wealth in life bt km huyo nkurunzinza ameshavipata angeondoka kwa aman il next tym awe mshaur and people will respect that their whole life lakin akiondoka kwa maandamano kwisha habari,no one will remember him
 

Museveni: 29 years in power na bado anataka
Kagame: 21 years in power na bado anataka
Uhuru: kashinda kesi ICC kimagumashi baada ya mashahidi kupotea potea

Kikwete peke yake ndio anaweza kumkemea Nkurunzinza lakini je given CV za hao jamaa hapo juu italeta maana? Actually, ni rahisi zaidi kwa kikwete na yeye kung'an'gania madaraka kama wenzie maana so far Tanzania ndio ya tofauti! Nkurunzinza akiuliza "na hawa je" kikwete atajibu nini, Nkurunzinza angalau ana kisingizio kinachojadilika nacho ni utata wa katiba, huwezi kudai the same kwa mtu kama museveni.
 

Mbona unazunguka around the bush, ngja nikurahisishie. nkurunzinza mimi naona abaki kwa sababu ni mhutu halafu population kubwa ni wahutu afu hata hizo chokochoko za vurugu zinazoendelea Burundi zimeletwa na Kagame kwa sababu kagame anapenda vita sana! Nkurunzinza oyee,Burundi wananchi wanakupenda sana mh . Rais Tunaomba uongeze muhula mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…