Nkurunzinza anadai kuwa eti, ile term yake ya kwanza alipewa mezani, hivyo basi haiwezi kuhesabiwa. Kazi kweli kweli.Nadhani umefika wakati hizi sheria za kimataifa zirekebishwe,ili mtu kama huyu atolewe kibabe kwa maslahi y raia wa buru
Nkurunzinza anadai kuwa eti, ile term yake ya kwanza alipewa mezani, hivyo basi haiwezi kuhesabiwa. Kazi kweli kweli.
kwa utawala wa Pierre kwa watu wa Burundi hapakuwa na hofu yoyote kwake. Wengine wanahofu kuwa watashitakiwa kwa mambo waliyoyatenda madarakani lakini huyu alikuwa amefanya relatively vizuri sasa anajiharibia!Ni ushauri mzuri. lakini wale jamaa hawana tofauti na zile tawala za akina Kagame na Museven wanaotaka kufia madarakani.
Tanzania should put its army ready for any intervention as this violence will attract Kagames and other warlords inside and outside Burundi to impose people of M23 type to take power by force, let alone saving lives of innocent people
kama hujui siasa za wahutu na watutsi unaweza kudhani hivyo, nenda chunguza hao wanaokwenda rwanda ni kabila gani, kabila litakalokuja kuomba hifadhi TZ sio hao wanaokwenda Rwanda, ngoma ikinoga na wao watakuja bongo au wataenda DRC
cc:
makoye78
Why should they care if we dont care about ourselves? AU ipo tu imekaa kimya. Tatizo Afrika viongozi wanafiki wanaogopa kuambiana ukweli ndiyo maana unawaona kimya wataanza kujikosha damu ikimwagika na lawama kwa nchi za Ulaya na Marekani eti waliona dalili za umwagaji damu ila hawakuchukua hatua.
It was South Africa, now is Burundi, where are we going people?
We can pray and stop those atrocities.Itafuata sisi october endapo hatutakuwa makini
Mugabe style. Hawa watu itabidi waelewe kuwa Africa sasa sio ile ya miaka ya 70. They don't get it.Ha ha ha...yetu macho...jamaa alianza na kutimua...katimua vibosile wote waliokuwa wazi kumpinga...lakini watu wa Burundi wameamua kuingia mtaani hadi kieleweke...
Badala astahafu kwa heshima anataka kuwa next candidate wa The Hague...
Hakuna uwezekano kweli pk kuwasaidia jamaazake?
Mugabe style. Hawa watu itabidi waelewe kuwa Africa sasa sio ile ya miaka ya 70. They don't get it.
I see, I didn't know that.Siyo Mugabe style mkuu. Mugabe ile ni external force ndo ilikuwa inampa kiburi tshevangilai
Nadhani umefika wakati hizi sheria za kimataifa zirekebishwe,ili mtu kama huyu atolewe kibabe kwa maslahi y raia wa buru
kama hujui siasa za wahutu na watutsi unaweza kudhani hivyo, nenda chunguza hao wanaokwenda rwanda ni kabila gani, kabila litakalokuja kuomba hifadhi TZ sio hao wanaokwenda Rwanda, ngoma ikinoga na wao watakuja bongo au wataenda DRC