Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia"
Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!
Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU, CCM itang'oka!
