J Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 13,073 Reaction score 6,617 Jan 6, 2025 #221 DesertStorm said: Wakati wa utumwa ulikuwepo? Jibu swali, yani mzungu au kanisa lenu litakapotoa historia nanyi mnaipokea kama ilivyo bila kufanya utafiti wowote hahaaaaa, nyie watu hatari sana Tena huyo lukuvi, sijui mama anakwama wapi kumpa nafasi tena Click to expand... Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengine
DesertStorm said: Wakati wa utumwa ulikuwepo? Jibu swali, yani mzungu au kanisa lenu litakapotoa historia nanyi mnaipokea kama ilivyo bila kufanya utafiti wowote hahaaaaa, nyie watu hatari sana Tena huyo lukuvi, sijui mama anakwama wapi kumpa nafasi tena Click to expand... Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengine
J Jagina JF-Expert Member Joined Jan 29, 2019 Posts 13,073 Reaction score 6,617 Jan 6, 2025 #222 Inside10 said: Pia jaribu kufikiri vyema hapa mada ni usultani wa zanzibar na sultanate.. Na hiko kitabu ni cha kanisa na siasa za tanzania bara.. Wapi na wapi?! Click to expand... Soma swali ulilouliza huko juu , mbona unasahau mapema au jibu limekugusa ndipo Inside10 said: Lengo la kanisa ktk nini?!
Inside10 said: Pia jaribu kufikiri vyema hapa mada ni usultani wa zanzibar na sultanate.. Na hiko kitabu ni cha kanisa na siasa za tanzania bara.. Wapi na wapi?! Click to expand... Soma swali ulilouliza huko juu , mbona unasahau mapema au jibu limekugusa ndipo Inside10 said: Lengo la kanisa ktk nini?!
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,315 Reaction score 2,739 Jan 6, 2025 #223 Jagina said: Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengine Click to expand... Inawezekana Yani huyu jamaa, ningelikua mimi asingepata hata udiwani View: https://youtu.be/obOYhW6LJUI?si=RYHK_OPdh5vjEtPb
Jagina said: Nafikiri labda anaona ni njia moja ya kumdhibiti pengine ziko sababu nyengine Click to expand... Inawezekana Yani huyu jamaa, ningelikua mimi asingepata hata udiwani View: https://youtu.be/obOYhW6LJUI?si=RYHK_OPdh5vjEtPb
Gavana JF-Expert Member Joined Jul 19, 2008 Posts 33,635 Reaction score 8,957 Jan 6, 2025 #224 balibabambonahi said: propag propaanda tu hizo.Mwaka 1964 kulikuwa na utumwa Zanzibar? Jamshid usultan wake haukufika hata mwaka mmoja. Click to expand... Ndivyo alivyokuambia Nabii wako Tito?
balibabambonahi said: propag propaanda tu hizo.Mwaka 1964 kulikuwa na utumwa Zanzibar? Jamshid usultan wake haukufika hata mwaka mmoja. Click to expand... Ndivyo alivyokuambia Nabii wako Tito?