Kweli mkuu emu funguka kidogo ilikua kuaje na sisi tujifunze angalauMungu ni mwema sana ndugu yaani kuna vifo viwili nimevishuudia maishani mwangu nabaki kusema tumwache Mungu aitwe Mungu, kifo hakichagui na usijione mwamba au mzima sana aisee Mungu ana siri nyie.
Shukran.Nakumbukaga uliwahi kupost humu kuhus huyo rafki mwenye Jinsia Mbili, Dah pole sana kw kuondokewa na Rafki yako Mkuu.
Kweli kabisa maradhi hayana hodi na kifo piaMungu ni mwema sana ndugu yaani kuna vifo viwili nimevishuudia maishani mwangu nabaki kusema tumwache Mungu aitwe Mungu, kifo hakichagui na usijione mwamba au mzima sana aisee Mungu ana siri nyie.
Kuna uzi nilileta kuhusu kijana huyu utafuteAlikuonesha hiyo jinsia ya pili?
Lete linkKuna uzi nilileta kuhusu kijana huyu utafute
Kuna uzi nilishaleta unaomhusu kijana mwenye jinsia mbili na ndio huyo kibofu kimezingua kafanyiwa surgery hali ikawa mbaya mara mbili , maumivu makali tayari kaondokaMambo ya jinsia ni ya mtu binafsi zaidi
Jiweke vizuri Na Mungu hakuna siku wala saa mimi namwomba Mungu anipe nafasi ya kuaga kama huyu kijanaKifo daaa nakiogopa jamani .nawaza sana siki ghafla nikisepa je nitakuwa na uwezo wa kuwaona mnavyo uzunika na watakao nicheka ,kifo akina urumaaaa
Nimelia sana sana sanaNimepatwa na huruma na kusikitika Sana ghafla inaumiza na hayo maneno ya mwisho.
“Nipo kwenye maumivu makali Sana ila maumivu ya mwisho”
Hapana sio kwamba kuna mysterious zozote ila ni kwa namna watu wanakufa katika namna ambayo hutegemei binafsi nilikuwa na rafiki yangu alikuwa mtoto wa kishua haijui shida nilikuwa nikijitazama na shida zangu naona Duniani kama sehemu ya mateso,jamaa alikuwa yuko poa sana tena bwana mdogo kichiz, mchizi alienda India [emoji1128] kusoma baada ya mwaka akagongwa na gari akafariki ilikuwa 2015 nilia kama mtoto, leo nipo zangu Instagram naona picha inatembea jamaa tunafahamiana vzr eti r.i.p yaani nijamaa kajitafuta kajipata mihela kama yote yaani vimilioni mia plus havikoseni standby kwenye account yaan ni mchizi wa around 32yrs old katutoka ghafla, inaumiza nyie...Kweli mkuu emu funguka kidogo ilikua kuaje na sisi tujifunze angalau
Hatari sana mkuu kifoo halina huruma, wote njia yetu ni mojaHapana sio kwamba kuna mysterious zozote ila ni kwa namna watu wanakufa katika namna ambayo hutegemei binafsi nilikuwa na rafiki yangu alikuwa mtoto wa kishua haijui shida nilikuwa nikijitazama na shida zangu naona Duniani kama sehemu ya mateso,jamaa alikuwa yuko poa sana tena bwana mdogo kichiz, mchizi alienda India [emoji1128] kusoma baada ya mwaka akagongwa na gari akafariki ilikuwa 2015 nilia kama mtoto, leo nipo zangu Instagram naona picha inatembea jamaa tunafahamiana vzr eti r.i.p yaani nijamaa kajitafuta kajipata mihela kama yote yaani vimilioni mia plus havikoseni standby kwenye account yaan ni mchizi wa around 32yrs old katutoka ghafla, inaumiza nyie...
AsanteRIP muhusika
Polee rafiki kwa kuondokewa na mpendwa wako.
AsantePole Sana mkuu
Ni kweliKijana mwenye jinsia mbili aliwahi leta hii story...kaisome hapo
Pole sana.kijana mwenye jinsia mbili alipata shida ya kibofu cha mkojo na kufanyiwa surgery
Lakini hali yake haikutengamaa bali ndio ikazidi kuwa mbaya sana sana .
Sasa jana kanitumia meseji watsap.
Kaka asante kwa kuwa rafiki bora zaidi ya rafiki , ndugu zaidi ya ndugu
Nilifurahia sana kampani yako kwenye maisha yangu kwa muda tuliofahamiana . Ulinipa tabasamu na kidogo kupata mwanga wa kuishi bila kujutia nilivyoumbika na pia kupata faraja na matumaini makubwa kiroho . Japo kuwa ulinifanya nipende kuishi
Ila kwa sasa sina jinsi naondoka ninahuzuni . ila nikikumbuka tumaini la maisha ya uzima wa milele ulilonihubiria basi sina sababu ya kuhuzunika sana nimeshateseka sana na nikiwaza dunia isiyokubali nilivyoumbwa acha tu nipumzike kaka acha nipumzike . Kwaheri bro tutaonana kwenye uzima wa milele jitahidi uishi maisha uliyonihubiria tukutane huko siku moja.
Asante sana bro .
Hayo ndio maneno ya mwisho ya rafiki yangu kijana mwenye jinsia mbili.
Nilipiga simu haikupokelewa leo napigiwa simu naambiwa kijana hatunae tena , sijaweza kumuuliza hata yeye ni nani ila nisauti ya mwanamke mtu mzima alikuwa analia sana.
Nina huzuni sana , nitamisi sana meseji zake na ukaribu wake na mimi utani wa kutosha
Hakuna siku iliyopita bila kuongea na kuchat
R.i.p
View attachment 2574372