AljuniorTz
JF-Expert Member
- Jan 6, 2009
- 544
- 19
Mwandishi wa Shirika la Utangazaji la BBC; John Ngahyoma amefariki dunia hospitalini leo asubuhi, maziko yake yatafanyika nyumbani kwake Tabata Segerea. Ngahyoma kabla ya kuwa mtangazaji wa BBC aliwahi kufanya kazi ya Radio One na ITV.