Burian Dk. David Mbele

Burian Dk. David Mbele

Siyo kweli kuwa kila mtu ataamua, tunaokolewa si kwa mastahili yetu bali ni kwa neema tu.

Hiyo Neema si unaamua wewe mwenyewe ukiwa hai kwamba uikubali au ukatae? Neema imefunuliwa kwa watu wote, kila atakae anapokea. Huwezi kuniambia mtu alikua jambazi au mwizi na hakuwahi kupokea hiyo Neema akatengeneza maisha yake ukafikiri RIP itampeleka mbinguni. Matendo yake alipokua hai yataamua nafsi yake itaenda wapi.
 
Watu wanaishi hovyo ila dakika za mwisho kufani wanatubu ila wengine wanaishi vizuri mwishoni wanaharibu. Sisi binadamu tunashindwa kujua tumshangilie yupi kati ya hao wawili, na kwa vile hatutaki kumpangia Mwenyezi 'ampumzishe ANAPOSTAHILI' badala yake tunamuomba awape wote raha japo tunajua Mwenyezi atafanya kwa kadri apendavyo. Hoja yangu ni siyo busara kumtaka Mwenyezi ampumzishe mtu mahali fulani bali tumuombe ikiwezekana ampe mahali pema karibu naye yaani mwanga wa milele. Kwa kufanya hivyo tunakuwa tunajiombea huruma pia sisi wenyewe kwani hatustahili pia.
 
Mkuu huu uzi una kasoro kidogo, itakuwaje mbele yetu nyuma yake!!! It means sisi ndio tuliotangulia mbele za haki?
mbele yake, nyuma yetu Amina.
 
Hii picha nimeitoa mahali maana niko mbali kwa anayemfahamu atamkumbuka tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-02-09-37-37.png
    Screenshot_2017-09-02-09-37-37.png
    88.4 KB · Views: 33
Back
Top Bottom