BURE NDANI YA JIMBO LA DODOMA

BURE NDANI YA JIMBO LA DODOMA

mwaki pesile

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
343
Reaction score
487
itakuwa inapaki pale hospitali ya mkoa wa dodoma
IMG_20181207_111841.jpeg
IMG_20181207_111912.jpeg
IMG_20181207_111901.jpeg
IMG_20181207_111926.jpeg
IMG_20181207_111833.jpeg
 
Kwa hiyo mwenye gari kubwa aliloliaona ni hilo tu.

BTW sio mbaya, huduma ya bure hiyo wananchi wa dodoma mjini.
 
Jaman kufa pia ni sehemu ya maisha ya binadamu na hudumu nzuri kwa ajili ya kuhifadhi mwili wa marehemu ni jambo nzuri zaidi..
Mfano mm nilikaa moro kipindi fulani kuna mbunge pale yeye anatoa basi kila kwenye misiba hapo mjini nyie ni mnaweka mafuta tu yaani huduma hiyo inasaidia sana na inapunguza gharama za misiba/mazishi maana msiba haupigi hodi jaman.

Mungu awabariki wote wanaojitaidi kusaidia kuwasitiri marehemu kwa kutoa msaada wa namna yoyote hile maana ni ndugu zetu pia.
 
Back
Top Bottom