Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,725
- 6,730
You're my sweetie, my sugar, my baby, my lover...so honey let me hold ya, let me love ya, forever. Wo-eh.
Hayo ni maneno yaliyomo kwenye wimbo maarufu uitwao "You're my sweet, my sugar" au "Let me love you" ulioimbwa na mwanamuziki Bunny Mack kutoka nchini Sierra Leone.
Wimbo huu ulikuwa moja ya nyimbo maarufu sana mwanzoni mwa miaka ya 1980 pamoja na mwingine kama "Amioh" wa Nayanka Bell wa Ivory Coast (Cote d'Ivoire).
Wengine tulikuwa bado wadogo sana lakini tuna kumbukumbu nzuri ya huu wimbo kukubalika sana kipindi hicho.
Lakini daah! Sikujua kuwa huyu Bunny Mack alifariki July mwaka jana 2015. Kweli udongo haushibi.