Bunju-Posta Metro Line

Nimefarijika uliposema uwezo upo. Inawezekana kujenga kwa awamu. Kama tumeweza SGR hata hii tunaweza.
Uwezo upo, kinachotakiwa ni vipaumbele tu. Na kimsingi tuwe na watu wenye mawazo mnyambuliko. Tusiwe na watu wanaofikiri kivyao vyao. Yaani tuna Nchi yenye viongozi wanaoona kuwa mawazo yao ni zaidi ya wengine, too bad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio solution kabisa...hapa dawa ni watu watumikishe mayele kuhakikisha wanancbi wanasambaa kwenye mikka mingine sio kuja dar
 
Dar leo ina watu 5.5m imagine miaka 15 ijayo itakapokuwa na watu 10m au 20m itakuwaje?
 
Hiyo sio solution kabisa...hapa dawa ni watu watumikishe mayele kuhakikisha wanancbi wanasambaa kwenye mikka mingine sio kuja dar
Mkuu miji mikuu dunia nzima inapokea watu wengi kuliko wanaotoka, na si kinyume chake.
 
Kipaumbele kipo kwenye usafiri wa kisasa Ila tumeopt BRT kwahio sio mbaya sehemu fulani ya mji tukaweka hizi Metro line
 
Kweli kabisa mana mwendokasi yenyewe kwa sasa haitoshi watu waliopo sasa hivi nahisi hata hyo morogoro road waje waweke hyo metro. Population inakuwa kwa kasi huku miundo mbinu rafiki haiongezwi imebaki Ile ya zamani
Dar leo ina watu 5.5m imagine miaka 15 ijayo itakapokuwa na watu 10m au 20m itakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miji mikuu dunia nzima inapokea watu wengi kuliko wanaotoka, na si kinyume chake.
Ah sasa sie ndio lazima tufikiri tofauti bwana kwa sababu ata hizo nchi zingine bado pamoja na hiyo miunxo mbinu wanapata tabu. Cha msingi tuwarudishe watu shamba.
 
I agree with you me nimeona watu binafsi wakitaka kuweka lami barabara zao wakizuiwa na serikali had nilishangaa mno aisee. We need to change our mindsets wazo lako ni best
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Bado hiyo kitu ipo Dubai kama umeenda Dubai ni kitu cha kawaida kabisa
 
Ah sasa sie ndio lazima tufikiri tofauti bwana kwa sababu ata hizo nchi zingine bado pamoja na hiyo miunxo mbinu wanapata tabu. Cha msingi tuwarudishe watu shamba.
Aisee....wanapata tabu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…