Hakuna chochote wanachama wa simba wamewekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi?Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.
Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.
Boss hii ni Africa
Simba ni kampuni na taratibu zote zipo wazi. Subiri utatoka mchanganuo wa kuendesha kampuni. Ngoja kwanza tuchukue kadi zetu za bank na equity tuzindi ingiza pesa ya ujenzi.Hakuna chochote wanachama wa simba wamewekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama ? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi ??
Press hua inatoka kwa body ya wakurugenzi inayoongozwa na Mo ...alafu pia kuna voting right/power...
Lakn pia, hisi ziliso salia zinauzwa kwa watu/mtu..kwa taarifa zilizopo.. Mo 49%, kuna mdau ana 10%, So 49+10=59...hisa ambazo bado ni hizo.
Na mchakato utakapo kamilika mwakan, watu wachache wanaweza nunua zilizo baki, wanachama wao watapewa 10%...
Huwez uka stake 0 alafu ukamfanyia maamuz aliweka bil 20, hakuna kitu kama hicho.
Huwa sipendi kuichosha akili Mtani kwani huwa naingia JF kwa ajili ya kuipumzisha baada ya shurba za kupambana na hali yangu. 😀😀😀Haunaga makuu kabisa
Mjukuu wa kilomoni.
Nenda kasome vizuri mkuu.Hakuna chochote wanachama wa simba wekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama ? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi ??
Press hua inatoka kwa body ya wakurugenzi inayoongozwa na Mo ...alafu pia kuna voting right/power...
Lakn pia , hisi ziliso salia zinauzwa kwa watu/mtu..kwa taarifa zilizopo.. Mo 49%, kuna mdau ana 10%.... So 49+10=59...hisa ambazo bado ni hizo..
Na mchakato utakapo kamilika mwakan, watu wachache wanaweza nunua zilizo baki , wanachama wao watapewa 10%...
Huwez uka stake 0 alafu ukamfanyia maamuz aliweka bil 20...hakuna kitu kama hicho
Naelewa mtani ni matumaini hata yeyeHuwa sipendi kuichosha akili Mtani kwani huwa naingia JF kwa ajili ya kuipumzisha baada ya shurba za kupambana na hali yangu. 😀😀😀
Hivyo yule Mkuu anisamehe tu kama nimemjazibisha.
Mbona lilitolewa ufafanuzi mkuu hili tena na MO mwenyewe, wakati sheria inapitishwa wao tayari walishafanya maamuzi ya yeye kumiliki hizo 49%, kwakua sheria ilimkuta tayari yuko hvyo hilo halibadilikiNenda kasome vizuri mkuu.
Kwa sheria iliyopitishwa
Vilabu vilivyoanzishwa na wanachama
Mwekezaji yeyote atayekuja hawezi miliki Hisa zaidi ya 50.
Na hizo 49 hatakiwi hazimiliki peke yake. Inabidi zigawanywe kwa wawekezaji si chini ya watatu.
Kwaiyo sheria inamtaka mo hizi 49 bado awapunguzie wengine wawili.
HahahaMbona lilitolewa ufafanuzi mkuu hili tena na MO mwenyewe, wakati sheria inapitishwa wao tayari walishafanya maamuzi ya yeye kumiliki hizo 49%, kwakua sheria ilimkuta tayari yuko hvyo hilo halibadiliki
Ni kweli hutakiwi miliki zaid ya 50% mtu mmoja , lakani hakuna anae mzidi 49% zakwe kwenye umiliki pia
Yeye ana 49%
Ane mfuata ana 10%
Hisa ambazo bado hazijafanyiwa maamuz ni 41%
Na hata hizo ambazo zitakuja kuuzwa kwa wanachama anaweza kufanya kama KUSAGA anavyo miliki hisa WASAFI MEDIA kupitia mkewe , yaani akazinunua yeye mwenyewe ila kupitia mtu mwingine....hata huyo mwenye 10% hawakumtaja, inawezeken yeye kaweka mtu
Sisi mashabiki tubaki kupata burudani , tukiwa na cha ziada tukanunue hisa , tuiombee club ifanikiwa ...baaasi
Kama Kilomoni wameweza mnyamazisha tena kisheria, we subiri tuHahaha
Sio kwa serikali hii ya maghufuli.
Mimi mwenyewe nimepanga chukua vipande vyangu kadhaa vya hisa.
Ubaya wa serikali za AfricaKama Kilomoni wameweza mnyamazisha tena kisheria, we subiri tu
Hawa wenzetu kuna mambo wanatuzidi
Kwa hiyo uwanja wa Emirates stadium sio mali ya Arsenal ni mali ya shirika la ndege la 'The Emirates'Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.
Hilo linafahamikaUwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.
Mimi ni shabiki wa Simba, timu ikiwa ya wanachama mimi kimaslahi sifaidiki na chochote, ikiwa ya Mo, mimi sifaidiki kimaslahi, mie naipenda Simba ifanye vizuri uwanjani napata furaha ya nafsi yangu na hilo kwangu linatosha.Kwani uwanja ukiwa wa mo sisi wachezaji na mashabiki tunapata hasara gani
Uwanja huu unaosemekana ni mali ya Simba ila ukweli sio mali ya simba bali ni mali binafsi ya mfanyabiashara mwenye share kubwa ndani ya club ya Simba Mohamed Dewj "Mo".
Jina la uwanja huo ni Bunju Complex na hautakaa upewe jina linalishabihiana na Club ya Simba.
Pia doccument za umiliki wa eneo pamoja na viwanja vyote cha mchezo na cha mazoezi hazijasajiliwa na kwa jina la Club ya Simba.